• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Wilaya ya Siha yapongezwa kwa ubora wa miradi ya maendeleo

Posted on: August 2nd, 2022

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi  Daniel Chongolo ametoa pongezi nyingi Viongozi wa Wilaya ya Siha na Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro kwa kusimamia vema utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyo bora na imara.

Pongezi hizo amezitoa leo tarehe 2.8.2022 akiwa katika  ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa shule ya Kisasa Kata ya Biriri Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro,shule inayojengwa kwa fedha za Serilkali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiwa katika ziara hiyo ya siku moja katika Wilaya ya Siha katibu Mkuu wa CCM Taifa aliwakumbusha wananchi wa Wilaya ya Siha kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa ya watu na Makazi litakalofanyika nchi nzima tarehe 23 Agosti,2022.

Mtaalam wa ujenzi ndugu Mbaraka Kiure akieleza hatua mbalimbali za ujenzi wa shule hiyo  kwa katibu Mkuu wa CCM Taifa

Katika ujenzi wa shule hiyo ya kisasa ya Sekondari Biriri ujenzi umetumia shilingi Milioni 470 fedha kutoka Serikali ya awamu ya Sita kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 8,chumba cha Kompyuta,jengo la utawala,Maktaba moja,Maabara ya masomo ya Kemia,Fizikia,Biolojia,Jiografia na "Domestic Science:"

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA -KILIMANJARO June 30, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA SENSA, 2022 SIHA DC-KILIMANJARO July 27, 2022
  • TANGAZO MABADILIKO MAFUNZO YA SENSA 2022 SIHA DC-KILIMANJARO July 28, 2022
  • Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 shule za Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro July 14, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Baraza la Madiwani Siha kukutana tarehe 11 na 12 Agosti, 2022

    August 11, 2022
  • Baraza la Madiwani Siha kukutana tarehe 11 na 12 Agosti, 2022

    August 11, 2022
  • Ng'ombe wa kilo 900 kutoka Wilayani Siha

    August 08, 2022
  • Serikali yakamilisha ujenzi wa Maabara Dahani Sekondari-Siha

    August 04, 2022
  • Ona Zote

Video

SERIKALI YA RAIS SAMIA YAENDELEA KUBORESHA SEKTA YA KILIMO SIHA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.