• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Maji

IDARA YA MAJI

UTANGULIZI 

Wilaya ya Siha inaskimu 6 za mtiririko za maji, ambazo hutoa huduma ya maji safi, salama na ya kutosha kwa asilimia 84 ya wakaazi wote (wakaazi 116,313 sensa ya wakazi ya mwaka 2012) kwa masaa 24 kila siku. Skimu zote za maji zinategemea chemichemi, vijito na mito,inayopatika na ndani ya msitu wa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Vyanzo vyote hivi vinakidhi ubora wa maji kwa matumizi ya binadamu, hivyo hakuna mitambo mikubwa ya kusafisha maji yanayotumika. Hata hivyo katika kudhibiti ubora wa maji (water quality control) madini ya Chlorine huongezwa katika maeneo maalum (matanki) kwa ajili ya kuua vijijidudu (chlorine disinfection). Aidha upimaji wa ubora (bacteriological analysis) hufanyi kaki la robo mwaka ili kuhakikisha ubora na kulinda usalama wa jamii. Matokeo ya upimaji yamekuwa ya kikidhima takwaya ubora wa maji ya kunywa kwa viwango vya Kitaifa na Kimataifa (WHO). Matokeo ya uchunguzi huo hutolewa katika mbao za matangazo na nyumba zaibada hivyo kuwezesha jamii kujua ubora wa maji hivyo kunywa maji kutoka bomba ni bila kuchemsha.

 

LENGO

Kuhakikisha kuwa Halmashauri inatoa huduma ya maji yenye viwango, kwa uhakika, uaminifu, uadilifu, kiutaalamu unakutambua/kujali umuhimu wa wateja na kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2025 (DirayaMaendeleo ya Taifa 2025) huduma ya maji safi na salama inafikia 95% ya wakazi wote.

 

MAJUKUMU YA IDARA YA MAJI

Mojawapo ya majukumu ya Idara ya Maji ni;

Kusanifu na kusimamia ujennzi na ukarabati wa miradi ya maji.

Kuhakikisha miradi ya maji inatekelezwa kwa viwango na thamani ya fedha.

Kuandaa taarifa mbalimbali zinazohusu Sekta ya Maji.

Kuunda vyombo vya watumiaji maji ili wananchi waweze kusimamia na kuendesha miradi yao ya maji wenyewe.

Kushirikiana na vyombo vya watumia maji (BodizaMaji) ilikuhakikisha kuwa wananchi wanapata maji safi, salama na ya kutosha na vyanzo vyama vinalindwa na kutunzwa.

Kuelimisha jamii umuhimu wa matumizi bora ya maji na utunzaji wa mazingira kwa ujumla.

Kuhakikisha kuwa miradi ya maji inakuwa endelevu kwa kutoa mafunzo kwa vyombo vya watumiamaji (Bodi za maji) juu ya uendeshaji wa miradi ya maji.

ü Kushirikiana na wadau mbalimbali ili kupata fedha za kutekeleza miradi ya maji.

Kuelimisha jamii, kutoa ushauri wa kitaalam kila inapohitajika pamoja na kufanya matengenezo/ukarabati mkubwa na/au dharura itokanayo na majanga.

Uendeshaji wa Miradi

Uendeshaji wa miradi ya maji umekasimiwa kwa wananchi wenyewe ambao wameunda bodi za udhamini (Board of Trustees). Zipo bodi mbili za udhamini ambazo ni, Bodi ya udhamini Lawate Fuka Water Supply Trustee na bodi ya udhamini Magadini Makiwaru Water Supply Trustee. Bodi ya maji Losaa – KIA iliyopo Wilaya ya Hai inahudumia sehemu kidogo ya wilaya ya Siha.

Bodi hizi zimeundwa na jamii na kusajiliwa kisheria kama inavyotakiwa na Sheria ya Maji na Usafi wa Mazingira Na.12, ya mwaka 2009. Shughuli za uendeshaji na matengenezo hufanywa na menejimenti chini ya usimamizi wa Bodi. Kila mteja amewekewa dira ya maji ilikupata kiasi sahihi cha maji aliyotumia kwa muda husika. Bodi zinamudu shughuli za uendeshaji na matengenezo kutokana na fedha zinazopatikana kutoka na makusanyo ya Ankara za majina wastani wa makusanyo ya Ankara za maji ni asilimia tisini na tisa (99).

Taratibu za mwananchi kuunganishiwa huduma ya maji (House Connection) hufanywa na vyombo vya watumia maji (bodizamaji) kwa kuanziaKamati ya Maji ya Kijiji na Serikali ya Kijiji.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.