• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Utumishi na Utawala

IDARA YA UTAWALA NA RASILIMALI WATU

Utangulizi

Idara ya utawala na utumishi ina jukumu la kuhakikisha kuwa sheria, taratibu na kanuni zote za kiutumishi zinafuatwa ili kuweza kudumisha utawala bora na utoaji huduma nzuri kwa jamii ya Siha.

Kiutawala halmashauri ya siha inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji. Katika ngazi ya kata anayesimamia majukumu yote ya kata ni Afisa mtendaji kata hivyo ana jukumu la kusimamia ulinzi, amani na usalama katika kata pamoja na shughuli zote za kiutawala ndani ya kata. Katika ngazi ya vijiji, mwenye jukumu la kusimamia amani na ulinzi katika kijiji ni Mtendaji wa kijiji pamoja na shughuli zote za kiutawala ndani ya kijiji.

Huduma zinazotolewa na Idara

Ø Kazi kubwa katika idara ya utawala na utumishi ni kusimamia shughuli zote za kiutawala ndani ya Halmashauri mfano kuhakikisha vikao vyote vya kisheria kuanzia ngazi ya kijiji mpaka halmashauri vinafanyika kwa wakati kwa kufuata kanuni na taratibu za vikao.

Ø Kutoa ushauri kwa Mkurugenzi Mtendaji kuhusu maswala ya kiutawala

Ø Kuhakikisha haki na stahiki zote za watumishi zinapatikana mfano watumishi wanapata mishahara yao kwa wakati, likizo kwa watumishi na haki zote za mtumishi mahalapa kazi.

Ø Kutafsiri sera, sheria na kanuni pamoja na miundo zinazohusu watumishi na kuratibu utekelezaji wake.

Kuhakisha kuna mahusiano mazuri pamoja na ushirikiano kati ya mtumishi na mtumishi mahala pakazi.

Kuhakikisha watumishi wote ambao muda wao umefikia ukomo kwa sababu mbali mbali wanaondolewa katika payroll kupitia mfumo wa LAWSON.

Kusimamia masuala ya nidhamu kwa watumishi wote kwa kushirikiana na Wakuu wa Idara.

Ø Kuhakikisha halmashauri inakuwa na watumishi wa kutosha kulingana na ikama ya kila idara, pia inasimamia mpango mzima wa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri.

Ø Kusimamia swala zima la watumishi kuwa wanathibitishwa na kupandishwa vyeo kwa wakati.

Ø Kusimamia mali za halmashauri na kuhakikisha zinatumika vizuri mfano magari, ofisi na mitambo.

Ø Kuandaa bajeti na makisio ya mishahara kwa watumishi wa wilaya Siha

Ø Pia kuhakikisha watumishi wanafanya kazi katika mazingira mazuri ya kazi na kuwapatia vitendea kazi vinavyohitajika na vitumike vizuri pamoja na kuhifadhiwa vizuri ili kudumisha huduma nzuri kwa wateja .

Ø Kuratibu shughuli za upimaji wa utendaji kazi wa watumishi wa halmashauri kwa kutumia mfumo wa wazi na kupitia na kupima utendaji wa watumishi (OPRAS).

Mafanikio

Ø Idara imefanya juhudi za kuhakisha watumishi wanaongeza ufanisi katika utendaji kazi kwa kuwapatia mafunzo ya ndani na ya nje ya ofisi

Ø Halmashauri imefanikiwa kuongeza watumishi kwa kadri serikali ilivyotupangia pia kulingana na mahitaji ya watumishi kwa mwaka husika.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.