• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji

IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA

Utangulizi

Halmashauri ya Wilaya ya Siha ina ukubwa wa eneo la Hekta 53,268 zinazofaa kwa Kilimo ambapo hadi sasa eneo linalolimwa ni Hekta 37,839. Mazao makuu ya chakula yanayolimwa ni Mahindi na Maharage na Mazao makuu ya biashara ni Kahawa na Shayiri. Mazao mengine yanayolimwa ni pamoja na Ndizi,Viazi Mviringo,  Matunda (Parachichi), Mboga (Karoti, Hoho, Nyanya, Njegere na aina nyingine za mboga), Mbaazi na Alizeti.

Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika

Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika ni miongoni mwa Idara kumi na tatu (13) za Halmashauri ya Wilaya ya Siha ambayo wajibu wake ni kutoa  ushauri wa kitaalam kwa Wananchi katika kuboresha uzalishaji na tija kwa mazao ya Kilimo ili kujitosheleza kwa chakula na kuongeza kipato kwa Kaya.

Idara imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni sehemu ya Uzalishaji mazao (Kilimo), Umwagiliaji na Ushirika.

Lengo la Idara                                         

  • Upatikanaji wa chakula cha kutosha na ongezeko la kipato kwa kaya

Mikakati ya  kufikia lengo 

  • Kuratibu na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya maendeleo iliyoibuliwa na wananchi ili kutatua changamoto wanazokabiliana nazo.
  • Miradi hiyo ni pamoja na Ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya umwagiliaji ili kuboresha upatikanaji wa maji ya umwagiliaji. Miradi iliyoboreshwa/kukarabatiwa ni Mfereji mkuu wa Umwagiliaji Mitimirefu, Mfereji mkuu wa umwagiliaji Namwai, Mfereji mkuu wa Umwagiliaji Wandri, Mfereji mkuu wa Umwagiliaji Mese, Mfereji mkuu wa Umwagiliaji Kasaisa, Mfereji mkuu wa Umwagiliaji Lawate, Ujenzi wa Bwawa na mfereji mkuu wa umwagiliaji Kishisha na Ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mowonjamu
  • Kuboresha uzalishaji zao la Kahawa kwa kuanzisha bustani kubwa itakayoweza kuzalisha zaidi ya miche bora 1,000,000 kwa mwaka
  • Kutoa mafunzo ya Kilimo bora cha mazao ya chakula na biashara kwa wakulima kupitia mashamba darasa, mashamba ya mfano, Kuandaa siku ya wakulima, kushiriki maonesho ya Nanenane na ziara za mafunzo 
  • Kutoa elimu ya Kilimo biashara kwa vikundi vya  wakulima (kuongeza thamani mazao ya Kilimo na kuwaunganisha wakulima na masoko)
  • Kuratibu na kusimamia usambazaji wa Pembejeo za Kilimo zenye ruzuku ya Serikali kwa wakulima wanufaika. Pembejeo zinazosambazwa ni pamoja na Mbegu bora za Mahindi, Mbolea ya kupandia na mbolea ya kukuzia
  • Kutoa elimu kwa wakulima juu ya kupunguza upotevu wa mazao baada ya kuvuna (Post harvest losses)
  • Kukusanya na kutunza Takwimu muhimu za uzalishaji wa mazao ya Kilimo
  • Kutoa elimu ya matumizi bora ya Ardhi (Sustainable Land Management)
  • Kukagua na kusimamia vyama vya Ushirika vya Mazao (AMCOS), Akiba na Mikopo (SACCOS)
  • Kushirikiana na vituo vya Utafiti kusambaza teknolojia mpya za Kilimo kwa wakulima
  • Kushirikiana na taasisi zisizokuwa za kiserikali (NGOs) katika usambazaji wa teknolojia mpya za Kilimo

Changamoto zinazoikabili Idara

  • Upungufu wa rasilimali fedha za kutosha kutekeleza miradi yote ya maendeleo inayoibuliwa na wakulima
  • Upungufu wa vitendea kazi kwa wataalam, Ngazi ya Kijiji, Kata na Wilaya. Vitendea kazi hivyo ni pamoja na usafiri ili kuwafikia wakulima kwa urahisi na vifaa vya kupima afya ya udongo (Soil Test Kits)
  • Upungufu wa Maafisa ugani na maafisa Ushirika

Utatuzi wa Changamoto

  • Kushauri Serikali kuu kuongeza ukomo wa bajeti (Budget Ceiling)  ya Sekta ya Kilimo ili kusaidia utekelezaji wa miradi na ununuzi wa vitendea kazi kwa wataalam
  • Kuhamasisha asasi binafsi kutenga fedha kwa ajili utekelezaji wa miradi inayoibuliwa na jamii
  • Halmashauri kutenga sehemu ya fedha za mapato ya ndani kusaidia utekelezaji wa miradi inayoibuliwa na wakulima
  • Kuweka mpango wa mahitaji ya wataalam wa Kada mbalimbali

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.