• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Waziri Jafo Awapongeza Viongozi Kilimanjaro Kwa Kuweka Mazingira Mazuri Ya Uwekezaji

Posted on: August 23rd, 2024

Siha - kilimanjaro

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Selemani Jafo amewapongeza viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro na Wilaya ya Siha kwa kuhakikisha wanaweka mazingira rafiki na mazuri ya kuratibu uwekezaji katika Mkoa.

Waziri Dkt Jafo ametoa pongezi hizo leo Agosti 23, 2024 alipotembelea eneo la uwekezaji la bustani ya wanyamapori ya Serval (Serval Wildlife) kwa ajili ya kujionea shughuli za uwekezaji katika sekta ya utalii uliofanyika katika Wilaya ya Siha.

Amesema baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuitangaza nchi kupitia filamu ya The Royal Tour, fursa za uwekezaji zimeongezeka na serval wildlife wametumia fursa hiyo kwa manufaa ya wananchi wa Wilaya ya Siha na Taifa kwa ujumla.

“Niwapongeze sana viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro na Wilaya ya Siha kwa kuhakikisha wanaweka mazingira mazuri ya kuratibu uwekezaji na kusimamia usalama wa wageni wanapoingia katika maeneo haya ya uwekezaji kwani usalama ni jambo mhimu na sisi Tanzania ni kipaumbele chetu” amesema Mhe Dkt Jafo.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Selemani Jafo na Viongozi mbalimbali wa wizara, mkoa wa kilimanjaro na wilaya ya siha leo Agosti 23, 2024 alipotembelea eneo la uwekezaji la bustani ya wanyamapori ya Serval (Serval Wildlife) kwa ajili ya kujionea shughuli za uwekezaji katika sekta ya utalii uliofanyika katika Wilaya ya Siha.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe Dkt Christopher Timbuka amewahimiza wananchi kutumia muda wao wa mapumziko kufanya utalii wa ndani  katika bustani hiyo kwa kuona wanyama kwa karibu, kuwagusa  na kucheza nao ambao ni uzoefu tofauti na maeneo mengine ya uhifadhi.

Dkt Timbuka amesema maeneo ya uwekezaji katika wilaya ya siha yapo mengi katika sekta ya kilimo, mifugo, utalii, viwanda na biashara hivyo wawekezaji waendelee kutumia fursa hizo na viongozi wataendelea kutoa ushirikiano wa karibu muda wote.

Bustani ya wanyapori ya Serval Wildlife) ni kivutio cha utalii wa wanyamapori na utamaduni kilichopo Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro ambapo  ukiwa katika eneo hilo utakuwa na uwezo wa kukiona kilele cha Mlima Kilimanjaro na Mlima Meru.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Selemani Jafo na Viongozi mbalimbali wa wizara, mkoa wa kilimanjaro na wilaya ya siha wakilisha na kukaa na wanyamapori leo Agosti 23, 2024 alipotembelea eneo la uwekezaji la bustani ya wanyamapori ya Serval (Serval Wildlife) kwa ajili ya kujionea shughuli za uwekezaji katika sekta ya utalii uliofanyika katika Wilaya ya Siha.



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.