• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

WATUMISHI SIHA WATAKIWA KUTUMIA MFUMO MPYA WA PEPMIS

Posted on: November 23rd, 2023

Mkurugenzi wa mipango ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Cosmas Ngangaji amewataka watumishi wa Wilaya ya Siha kuanza kutumia mfumo wa usimamizi wa utendaji kazi kwa mtumishi wa umma (PEPMIS) ili kuboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma.

Ngangaji ametoa wito huo Novemba 23, 2023 baada ya mafunzo ya kuutumia mfumo huo mpya wa PEPMIS unaochukua nafasi ya mfumo wa wazi wa upimaji wa utendaji kazi kwa watumishi wa umma (OPRAS) uliokuwa ukitumika awali yaliyofanyika katika ukumbi mkubwa wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha huku akibainisha kuwa lengo la serikali la kutengeneza mfumo huo mpya ni kuchochea utoaji wa huduma bora katika jamii.

Amesema mfumo huo mpya utasaidia kufanya tathmini ya rasilimali watu katika Halmashauri ili kujua ziada na upungufu uliopo katika maeneo mbalimbali kwa kuangalia muda na utaalamu walionao watumishi wa umma.

“Kama serikali tunakuja na mfumo ambao utatusaidia kufanya maamuzi ya ajira mpya zinazohitajika na uhamisho ili kuhakikisha kwamba rasilimali watu zinakaa panapotakiwa na kwa idadi inayotakiwa” amesema Cosmas Ngangaji Mkurugenzi wa Mipango Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Mkurugenzi wa Mipango, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Cosmas Ngangaji akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Novemba 23, 2023 kwenye ukumbi mkubwa wa Makao Makuu ya Halmashauri.

Katika hatua nyingine, Mkurugenzi wa Mipango Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Cosmas Ngangaji amesema mfumo huo unatumika kwa kila mtumishi ili kubaini uwajibikaji wao kila siku, wiki, mwezi hadi mwaka mzima kwani kila siku watumishi watatakiwa kuripoti walichofanya.

Malengo ambayo Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ni kusanikisha mfumo wa usimamizi wa utendaji kazi kwa mtumishi wa umma (PEPMISI) katika halmashauri zote nchini ili isaidie kujenga mazingira ya uwazi na uwajibikaji hali itakayowasukuma watumishi kufanya kazi kwa bidii.

Kauli mbiu inayoongoza mabadiliko hayo yanayofanywa na serikali ni PEPMIS!!!  PEPMIS!!!  Tujenge Utumishi wa Umma Kidigitali.

Watumishi wa Halmashauri wakiwa kwenye mafunzo ya mfumo mpya wa usimamizi wa utendaji kazi kwa watumishi wa Umma (PEPMIS)

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.