• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Wananchi Wilaya ya Siha waendelea kuhesabiwa Sensa ya watu na Makazi 2022

Posted on: August 23rd, 2022

Wananchi na Wakazi wa Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro wameshiriki vema zoezi la sensa ya watu na makazi lililoanza maeneo yote ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro tarehe 23 Agosti 2022.

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson akishiriki zoezi la sensa la sensa akiwa nyumbani kwake Kitongoji cha Dachikona,Kijiji cha Wiri Kata ya Gararagua

Akizungumza mara  baada ya kuhesabiwa,Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson amesema kuwa zoezi limeanza vizuri na linaendelea vizuri katika maeneo yote ya Wilaya ya Siha na hakuna tukio lolote la kukwamisha zoezi hili limeripotiwa.

Ametoa wito kwa Wananchi na Wakazi wa Wilaya ya Siha kuendelea kusubiri makarani wa sensa wapite katika kaya zao kwani zoezi hili linaendelea kwa  siku sita kuanzia tarehe 23 Agosti,2022 na hivyo wale ambao hawatafikiwa tarehe 23.8.2022 watafikiwa siku zinazofuata na hivyo wasiwe na shaka wala wasiwasi.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha mhe. Duncan Urassa amesema kuwa yeye ameshahesabiwa mapema leo tarehe 23 Agosti,2022 na ametoa wito kwa wakazi wa Wilaya ya Siha kutoa taarifa sahihi kwa makarani wa sensa wanaopita katika kaya ili taarifa hizo zisaidie Serikali yetu katika kupata mahitaji sahihi ya wananchi hususani huduma za afya,elimu, maji na huduma nyingine za kijamii.

mhe. Duncan Urassa mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha akishiriki zoezi la senya tarehe 23 Agosti 2022 akiwa nyumbani kwake Kijiji cha Ashengai kata ya Karansi

Baada ya kuhesabiwa pia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Pendo Mangali  amewataka wananchi wa Wilaya ya Siha kutoa takwimu sahihi katika zoezi la sensa ya mwaka huu kwani maendeleo yatapatikana kwa kutumia takwimu sahihi na siyo vinginevyo.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Pendo Mangali(kulia) akiwa na karani wa sensa nyumbani kwake kijiji cha Wiri Wilaya ya Siha  katika zoezi la sensa linaloendelea katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Siha

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.