• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Walimu watakiwa kutumia mbinu shirikishi katika ufundishaji mashuleni

Posted on: May 28th, 2019
  1. Walimu wa shule za Sekondari watakiwa kuboresha kiwango cha elimu mashuleni kwa kutumia mbinu shirikishi katika kuwasilisha mada mbalimbali wakiwa darasani. 

walimu wakitoa mada mbalimbali katika mafunzo hayo

Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Siha ndugu Valerian Juwal aliposhiriki kufungua mafunzo ya siku mbili kwa walimu 60 wa shule za Sekondari Wilaya ya Siha. 

mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Siha ndugu Valerian Juwal akifumgua mafunzo hayo ya walimu ktk ukumbi wa shule ya Sekondari Magnificat tarehe 27.5.2019

Akitoa neno la ufunguzi katika shule ya Sekondari Magnificat mapema tarehe 27.5.2019 Mkurugenzi wa halmashauri ya Siha aliwataka walimu kuendelea kulinda maadili ya kazi ya ualimu pamoja na kusoma kwa bidii ili kuwaongezea maarifa Wanafunzi waliopo mashuleni. 

"Mimi Nimefurahi sana kuona wadau mbalimbali wa elimu hasa mashiriki ya dini hasa Tume ya Kikristo ya huduma za Jamii idara ya elimu wakishirikiana na Chuo kikuu cha Mwenge Mjini Moshi" alisema Juwal

"Naomba wadau wengine wa elimu kuiga mfano huu wa Chuo Kikuu Mwenge pamoja na Tume ya Kikristo ya huduma za Jamii idara ya elimu kwa jinsi walivyoungana na Serikali ya Tanzania katika kuboresha sekta ya elimu hapa Nchini"aliongeza Juwal katika hotuba yake ya ufunguzi. 

washiriki wa mafunzo wakisikiliza kwa makini mada zilizowasilishwa ktk mafunzo hayo 

Naye Afisa elimu Taaluma idara ya elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Siha mwalimu Joel Mgalula alitoa shukrani kwa wafadhili wa mafunzo hayo kwa walimu wa shule za Sekondari Siha. 


Alieleza kuwa halmashauri ya Siha mkoa wa Kilimanjaro itaendelea kushirikiana na Chuo kikuu cha Mwenge pamoja na Tume ya Kikristo ya huduma za Jamii idara ya elimu katika mpango wa kuwajengea uwezo na umahiri walimu wa sekondari ili kuboresha kiwango cha elimu Wilaya ya Siha. 

Mratibu wa mafunzo hayo  kwa niaba ya Tume ya Kikristo ya huduma za jamii ndugu David Marandu alisema kuwa mafunzo hayo ni endelevu na wamekusudia kuwafikia wadau wote wa elimu kuanzia ngazi ya Wilaya, Kata na ngazi ya shule hasa wadau wakubwa wakiwa ni walimu. 

Mwakilishi huyo alieleza kuwa katika kanda ya Kaskazini halmashauri zote zimeingizwa katika mpango wa mbinu shirikishi za ufundishaji mashuleni.

Zoezi hilo kwa wiki hii linafanyika katika Wilaya za  Siha  Mwanga, Meru, Karatu na Monduli ambapo kuchaguliwa kwa halmashauri hizi kumetokana na mjongeo chanya wa ufaulu katika mitihani ya Kitaifa kwa miaka ya hivi karibuni alisema na kuongeza Marandu. 

Mpango wa mafunzo ya mbinu shirikishi kwa mikoa ya kanda ya kaskazini imetolewa kwa muda wa miaka minne Sasa. 

Jumla ya walimu 60,wakuu wa shule 4,maofisa elimu Kata 2 na mdhibiti ubora wa shule mmoja kupatiwa mafunzo hayo ya siku mbili na baadaye mafunzo yatatolewa kwa walimu wote katika shule za Sekondari Wilayani Siha. 

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.