• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Wafanyabiashara Wilayani Siha kunufaika kiuchumi

Posted on: September 1st, 2023

WAFANYABIASHARA KUNUFAIKA WILAYANI SIHA

Katibu Tawala wa Wilaya ya Siha Mhe. Jeni Chalamila ameishukuru Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali ya Shelter of Hope and Excellence Foundation (SHEFO) kwa kufungua kituo cha mafunzo kwa Wafanyabiashara wa Wilaya ya Siha na kuwahakikishia kuwa Serikali itashirikiana nao kwa ukaribu ili kufikia malengo ya kiuchumi.

Katibu Tawala Wilaya ya Siha akiwa katika Shule ya awali na Msingi Siha Leadership ambapo alizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Siha Agosti 31, 2023 wakati wa hafla ya utiaji saini  mkataba ushirikiano baina ya Taasisi ya  Shelter of Hope and Excellence Foundation (SHEFO) inayofanya shughuli katika  Wilaya ya Siha wakishirikiana na Taasisi ya UBORA kutoka nchini Marekani.

Mhe. Jani  Chalamila amesema Wilaya ya Siha itatoa ushirikiano wa kila hali  kwa Taasisi hizo ili kuwawezesha wananchi na Wakazi wa Wilaya ya Siha  kunufaika na makubaliano hayo muhimu kwa lengo la kuwajengea uwezo wafanyabiashara na wakulima.

Naye, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya  Siha Mwalimu  Naomi Swai amesema kuanzishwa kwa kituo cha kutoa elimu ya biashara kwa wafanyabiashara wa Wilaya ya Siha kutasaidia Wananchi wa Wilaya ya Siha kuinuka kiuchumi.

Amesema Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji inathamini hatua na juhudi hizo na kuwahakikishia uungwaji mkono  ili tija kwa wananchi wa Wilaya ya Siha na Tanzania kwa ujumla ionekane hususani katika uzalishaji wa mali.

Kwa upande wake, Mwanzilishi wa Taasisi ya SHEFO Mch.Wariaeli Maphie amesema lengo la kuanzishwa kwa kituo hicho cha utoaji elimu ya biashara kwa jamii ya Wilaya ya Siha ni kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa  kupata ujuzi utakaowawezesha kufanya biashara zao kwa weledi na ufanisi zaidi tofauti na hali iliyopo hivi sasa.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Siha Mhe. Jane Chalamila alitoa wito kwa Wananchi na Wakazi wa Wilaya ya Siha kuchangamkia fursa hiyo na kuwa chachu wa Mafanikio katika Mkoa wa Kilimanjaro na Tanzania kwa ujumla.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.