• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

THAMANI YA FEDHA KWENYE MIRADI INAONEKANA - DKT TIMBUKA.

Posted on: October 12th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka ameridhishwa na ubora na ufanisi wa ujenzi wa miradi ya idara ya Elimu Sekondari kwani thamani ya fedha katika miradi hiyo inaonekana.


Mhe. Dkt Timbuka amesema hayo leo Oktoba 12, 2023 wakati wa ziara ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Siha yenye lengo la kukagua miradi ya Maendeleo ili kubaini kasoro zinazojitokeza wakati wa utekelezaji na kuzitolea maelekezo ili zifanyiwe kazi.


Amesema thamani na ubora wa miradi ya maendeleo ni nzuri kwani inaonekana wazi na amewaelekeza wakandarasi wanaoshika kandarasi kuzingatia muda wa kukamilisha miradi kama inavyoelekezwa.


Akikagua ujenzi wa Mabweni Mawili, Matundu 15 ya Vyoo na Madarasa 7 katika Shule ya Sekondari Karansi Mhe. Dkt Timbuka amesema, "hapa thamani ya fedha inaonekana kutokana na ubora wa Mradi unavyoonekana lakini shida yao ni muda wa ukamilishaji wa mradi, Mafundi mnatakiwa kuongeza spidi ili miradi ianze kutumiwa na wanufaika"


Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt Haji Mnasi amesema wataendelea kusimamia miradi yote inayotekelezwa ndani ya Wilaya ikamilike kwa ubora na kwa ufanisi.


Dkt. Mnasi amesema ofisi yake itashughulikia kwa haraka kila changamoto inayojitokeza wakati wa utekelezaji wa miradi hiyo ili isiwe kikwazo cha kukwamisha ukamilishaji wa miradi kwa wakati na kwa ubora.


Ziara ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Siku tatu iliyoanza Jumanne Oktoba 10, 2023 imekamilika leo Oktoba 12, 2023 kwa kutembelea miradi ya Elimu ikiwa ni pamoja na Shule ya Sekondari Sikirari, Ormelili, Karansi na Kilimanjaro High School.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.