• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Tathmini ya utoaji elimu shule za Sekondari yafanyika

Posted on: August 28th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha Dkt Haji Mnasi  amewapongeza walimu wakuu wa shule za sekondari kwa kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha nne na kidato cha sita katika mitihani ya kitaifa unapanda kila mwaka.

Dkt Mnasi amesema hayo Agosti 22, 2023 katika kikao cha Tathmini ya utoaji elimu na utekelezaji wa KPI na maelekezo ya Mkoa wa Kilimanjaro ya utokomezaji wa Divisheni 0 na IV kilichofanyika katika shule ya sekondari Magnificat iliyopo kata ya Gararagua Wilaya ya Siha.

Amewataka walimu kufanya kazi kwa juhudi na weledi na kuboresha mara kwa mara mbinu za ufundishaji zitakazowawezesha wanafunzi kuelewa mada zinazofundishwa ili kusaidia ufaulu katika mitahani ya kitaifa kupanda na kupandisha nafasi ya ufaulishaji wa wanafunzi katika Mkoa wa Kilimanjaro.

Kwa upande wake, Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari Mwalimu Naomi Swai amesema lengo la kikao hicho ni kutathmini utoaji wa elimu na utekelezaji wa maelekezo ya Serikali kwa kuhakikisha wanasimamia maendeleo ya taaluma na kumuandaa mwanafunzi aliye elimika vizuri na ambaye atachangia katika maendeleo ya nchi na maendeleo yake mwenyewe.

“Tunazingatia maelekezo ya Serikali ya kuhakikisha kwamba tunasimamia vizuri taaluma na hii inashabiiana na lengo na dira ya nchi katika sekta ya elimu kumuandaa mwanafunzi aliye elimika vizuri na kuchangia maendeleo ya nchi” alisema Mwalimu Naomi Swai

Pia mwalimu Swai amewataka walimu kuwa na upendo kwa wanafunzi wakati wote wanapokuwa shuleni kwani utachagiza kujenga ukaribu kati yao na wanafunzi hali itakayopelekea kuongeza ufaulu wa wanafunzi katika mitihani ya ndani na kitaifa.

Kikao kazi cha Tathmini ya Vigezo vya Utendaji Kazi (KPI),  hali ya utoaji wa elimu katika Shule za Sekondari  na utekelezaji wa maelekezo ya Mkoa wa Kilimanjaro ya kuondoa Divisheni 0 na  IV kimefanya tathmini ya taaluma na kuweka mikakati ya kuongeza ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha pili nan ne katika mitahani ya ndani na kitaifa mwaka huu.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.