• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Siha yazindua Maktaba mpya

Posted on: November 28th, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Siha hatimaye imezindua maktaba ya kisasa ya vitabu vya ziada na kiada kwa ajili ya kuongeza maarifa kwa wananchi mbalimbali wa Wilaya ya Siha.

Uzinduzi wa Maktaba hiyo umefanywa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Anna Elisha Mghwira tarehe 28/11/2018 katika Kata ya Karansi Wilayani Siha.

Katika hotuba yake iliyosomwa na Mkuu wa Wilaya ya Mwanga mhe. Haron Mbogo,Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro alitoa pongezi za dhati kwa Kata ya Karansi kwa kuwa mfano katika kata zote mkoa wa Kilimanjaro  kwa kuanzisha  maktaba ya kisasa na iliyo na vitabu vyote muhimu.

Ukaguzi ukifanyika na viongozi mbalimbali kabla ya kuweka jiwe la msingi katika maktaba ya Vitabu Kata ya Karansi tarehe 28.11.2018

Alisema kuwa kwa kuwa Mkoa wa Kilimanjaro una historia ndefu katika elimu hapa nchini,hivyo wananchi wanatakiwa kuilinda historia hiyo kwa kuboresha elimu kuanzia ngazi ya kaya hadi Wilaya.

Akimkaribisha mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe Onesmo Buswelu alitoa wito kwa Halmashauri ya Siha kuiga mfano mzuri wa Kata ya Karansi na kama wataona wivu basi na ninyi muwe na Maktaba yenu ngazi ya Wilaya ili wananchi wapate maarifa.

"Natoa wito kwa wananchi wa Kata ya Karansi kutumia maktaba hiyo vizuri ili kuongeza maarifa ,badala ya baadhi ya watu kukaa vijiweni na kupoteza muda kwa kupiga soga na wengine kucheza michezo isiyo na faida kwa jamii" alisema Buswelu.

Maktaba ya Karansi ikionekana kujaa vitabu mbalimbali mara baada ya kuwekewa jiwe la msingi na Mh.  Anna Elisha Mghwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro tarehe 28.11.2018

Kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa na Mtendaji wa Kata ya Karansi ndugu Andrea Gunda kwa  mgeni rasmi mh. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Maktaba hiyo ina jumla ya vitabu zaidi ya elfu 20 ambapo vitabu hivyo vipo vya fani mbalimbali yakiwemo magazeti ya kila siku. 




Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.