• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Siha yafanya ukaguzi wa kustukiza katika biashara mbalimbali

Posted on: December 11th, 2017

Siha yaazimisha siku ya uhuru wa Tanzania kwa ukaguzi wa biashara mbalimbali

Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro imeazimisha siku ya Uhuru wa Tanzania kwa zoezi la ukaguzi wa uendeshaji wa biashara mbalimbali Wilayani hapa.

Zoezi hilo limefanyika chini ya usimamizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha Valerian Juwal ambaye alisaidia na timu ya Wataalam wa Halmashauri ya Siha ambapo zoezi limefanyika katika mji wa Sanya juu.

Maadhimisho ya kusherekea miaka 56 ya uhuru wa Tanzania yameazimisha siha kwa zoezi la ukaguzi wa biashara mbalimbali zinazoendeshwa sambamba na kutoa elimu kwa wananchi ya jinsi ya kuendelea kuboresha biashara zao kwa kuzingatia masharti na maelekezo ya kila biashara.

Katika zoezi hilo jumla ya wafanyabiashara 48 wamekaguliwa na timu hiyo ya wataalam,kati ya wafanyabiashara 48, wafanyabiashara 12 walikutwa na mapungufu katika biashara zao walipewa elimu na kutozwa faini ya shilingi elfu 50.

Miongoni mwa biashara zilizokaguliwa katika zoezi hilo ni pamoja na biashara ya chakula,maduka ya madawa ya binadamu na mifugo,maduka ya nyama,maduka ya vipodozi,nyumba za kulala wageni,maeneo ya kuuzia vileo , maduka ya bidhaa nyingine pamoja na gereji bubu zilizopo mji wa Sanya Juu.

Hata hivyo,wananchi wengi wa mji wa Sanya Juu wameipongeza Halmashauri ya Siha kwa kufanya ukaguzi huo wa kustukiza kwani utasaidia kuimarisha biashara zenye viwango katika Wilaya ya Siha.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha alieleza kuwa zoezi limefanyika kwa mafanikio makubwa na kwamba zoezi hilo litakuwa endelevu katika Wilaya ya Siha kwa lengo la kuwapa elimu ya kutosha wakazi na wananchi wa Siha.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.