• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

SIHA YAANZA KUKABIDHI MADARASA MAPYA 32 NA OFISI 16 ZA WALIMU

Posted on: December 28th, 2021


Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro imetii agizo la Serikali ya awamu ya Sita kwa kuanza kukabidhi vyumba vya madarasa 32 na ofisi za walimu 16 zilizojengwa na fedha za mradi wa mapambano dhidi ya ugonjwa wa uviko 19.

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson akikagua miundombinu iliyokamilika ya ujenzi wa darasa moja na ofisi ya walimu katika shule ya sekondari Magadini tarehe 28.12.2021

Zoezi la makabidhiano ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 3 na ofisi 2 za walimu limefanywa kuanzia  tarehe 28 Disemba 2021 na Halmashauri ya Wilaya ya  Siha kwa mkurugenzi Mtendaji pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri kumkabidhi  madarasa hayo mhe. Thomas Apson Mkuu wa Wilaya ya Siha.

Mkurugenzi Mtendaji H/W Siha ndugu Pendo Mangali(kushoto) akiwa na mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson (kulia) wakiwa katika darasa lililokabidhiwa jana  la shule ya sekondari Magadini 

Wakati wa kukabidhi madarasa hayo,mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Siha alieleza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Siha ilipokea jumla ya shilingi milioni 640 kutoka Serikali ya awamu ya Sita kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 32 yakiwemo 18 ya shule za sekondari na 14 shule za msingi. 

madarasa 2  ya shule shikizi ya msingi kijiji cha Ndinyika yaliyokabidhiwa jana 

Sisi kama Halmashauri tumejiongeza na tumefanikiwa kujenga madarasa 32 ,kuweka madawati kwa kila chumba pamoja na kujenga ofisi 16 za walimu katika shule zote zilizopatiwa fedha za ujenzi wa madarasa chini ya mpango wa ustawi wa jamii na mapambano dhidi ya uviko 19 alisema Pendo Mangali Mkurugenzi Halmashauri ya Siha.

chumba kimoja cha darasa na ofisi ya walimu shule ya sekondari Magadini

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson  mapema tarehe 28.12.2021 amepokea madarasa mawili  na ofisi moja ya walimu katika  shule shikizi ya msingi kijiji cha Namayani pamoja na chumba kimoja cha darasa na ofisi ya walimu katika shule ya sekondari Magadini.


 


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.