• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

SERIKALI YAJIPANGA KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU NCHINi

Posted on: January 10th, 2025

Serikali kupitia wizara ya afya imejipanga kutokeza maambukizi mapya ya ugonjwa wa kifua kikuu – TB ifikapo mwaka 2030.

Hayo yamebainishwa leo Januari 10, 2024 na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama kwenye uzinduzi wa bodi ya tatu ya Hospitali ya Maalum ya Taifa ya Magonjwa Ambukizi – Kibong’oto uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hospitali hiyo ambapo amesema ili kufikia adhma hiyo, Serikali imewekeza katika mashine za kiuchunguzi kubwa na ndogo kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa awali wa magonjwa ambukizi kikiwemo kifua kikuu.

Pia amesema Serikali imezindua X-ray 10 za kidijitali zinazotembea na zilizowekewa akili mnemba na uwezo wa kufanya uchunguzi wa awali na kugundua vimelea vya ugonjwa wa Kifua Kikuu mahali popote lengo ni kusaidia kubaini na kuanza kutoa tiba kwa watakaobainika kuwa na vimelea hivyo.

Mhe. Mhagama amesema tayari serikali imeshazindua kampeni ya kuhamasisha wananchi wajitokeze kupima kusudi wawatambue wenye vimelea na kuanza matibabu mara moja.

“Uzuri wa ugonjwa huu unatibika, nimefanya ziara na kujionea wagonjwa ambao wametibiwa na kupona, na niwapongeze Hospitali ya Kibong’oto kwa sababu wao ndio waliofanya utafiti na kupelekea matibabu ya awali ya sindano za kila siku kuondolewa na kupunguza muda wa matibu kutoka miaka miwili hadi miezi 6 pekee” amesema Mhe. Jenista Mhagama.

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akizungumza kwenye uzinduzi wa bodi ya tatu ya Hospitali ya Maalum ya Taifa ya Magonjwa Ambukizi – Kibong’oto uliofanyika leo Januari 10, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Hospitali hiyo

Naye, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Ismail Rumatila amesema dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ni kuboresha huduma za afya na ustawi wa afya za wananchi.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila akizungumza kwenye uzinduzi wa bodi ya tatu ya Hospitali ya Maalum ya Taifa ya Magonjwa Ambukizi – Kibong’oto uliofanyika leo Januari 10, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Hospitali hiyo

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezindua bodi ya tatu ya Hospitali ya Maalum ya Taifa ya Magonjwa Ambukizi – Kibong’oto ikiongozwa na Mwenyekiti wa bodi Prof. Mohamed Bakari aliyekuwa Mganga Mkuu wa Serikali kuanzia Septemba 2015 hadi Aprili 2020.

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka akizungumza kwenye uzinduzi wa bodi ya tatu ya Hospitali ya Maalum ya Taifa ya Magonjwa Ambukizi – Kibong’oto uliofanyika leo Januari 10, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Hospitali hiyo


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.