• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

RC Kilimanjaro atoa pongezi kwa miundombinu bora ya kidato cha tano

Posted on: August 18th, 2023

RC Kilimanjaro atoa pongezi kwa Wilaya ya Siha 

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ametoa pongezi kwa  Mkuu wa Wilaya ya Siha,Mwenyekiti wa Halmashauri na  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha  kwa usimamizi mzuri wa fedha za miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Wilaya ya Siha.

Mhe. Babu amesema hayo Agosti 16, 2022 katika ziara ya siku moja Wilayani Siha ya kutembelea miradi  mbalimbali hususani  Ujenzi wa miundombinu ya Kidato cha Tano mwaka 2023.

Mhe. Babu akiwa  katika Shule ya Sekondari Oshara amesema kuwa ujenzi unaendelea vizuri tena upo katika viwango bora na ametaka kazi hiyo kukamilika kwa haraka ili wanafunzi wa bweni waliopangwa waweze kupata mahali pazuri pa kulala na

Pia Mhe. Mkuu wa Mkoa ameipongeza Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwa uchaguzi mzuri wa mafundi wanaojenga kwa kuzingatia ubora wa majengo katika shule hiyo na thamani ya fedha iliyotolewa na Serikali kwa ajili ya Miradi hiyo inaonekana.


Mkuu wa Mkoa Mhe. Babu amesema Serikali ya Rais Samia  imekusudia kuondoa changamoto za Madarasa, Mabweni na Matundu ya Vyoo ili kuwawezesha Wanafunzi kujifunza katika mazingira bora na salama na walimu kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka ameahidi kusimamia kwa ukaribu ujenzi wa miundombinu hiyo ili ikamilike mapema kwa ubora na viwango  vinavyohitajika.

Amesema Wilaya ya Siha itaendelea kuwatumia Mafundi wa ndani wanaotekeleza miradi ya maendeleo kwa ufanisi na kuzingatia maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa ujenzi kutoka  Halmashauri ya Wilaya ya Siha.

Awali Mkuu wa shule ya Sekondari Oshara mwalimu Kilawe alisoma taarifa ya ujenzi alieleza kuwa shule hiyo ilipokea shilingi milioni 464.4 kutoka Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Akiwa Wilaya ya Siha, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ametembelea miradi ya Ujenzi wa Matundu 14 ya Vyoo, Vyumba 7 vya Madarasa na Mabweni Mawili, Ujenzi wa Ofisi ya Tarafa ya Ngarenairobi, Ujenzi wa Madarasa Manne na Matundu Matatu ya Vyoo katika Shule ya Msingi Ngaremji, kuzindua Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Siha na Ujenzi wa Zahanati ya Naibili.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.