• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Nyongeza ya Mshahara ilivyowakosha watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro

Posted on: August 27th, 2022

NYONGEZA YA MSHAHARA ILIVYOWAKOSHA WATUMISHI WA AFYA SIHA

Watumishi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha mishahara na mazingira ya kazini

Wakiongea katika nyakati tofauti watumishi hao wametoa ya moyoni kwa jinsi nyongeza ya mshahara ya asilimia 23.3 ilivyowasaidia kuboresha maisha yao pamoja na familia zao na zaidi kuongeza hari ya kufanya kazi bila kuchoka

Laurensia Minza Mfamasia wa Hospital ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro alisema kuwa “Namshukuru sana Mama na Rais wetu mhe. Samia Suluhu Hassan kwa nyongeza ya mshahara asilimia 23.3 na kutupandishia madaraja kitu ambacho kilikuwa hakijafanyika kwa watumishi wa umma kwa muda mrefu”

Dkt. Laurensia Minza Mfamasia Hospital ya Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro

Aliongeza kuwa maisha yetu kwa sasa yamebadilika na kuwa mazuri kwani tunafanya kazi kwa furaha na amani na kiukweli hatuna mawazo,Rais wetu tunamshukuru mno na mama yetu ikikupendeza tena uendelee kutuongezea maslahi yetu alisema Laurensia Minza.

Naye Venance Matonya ambaye ni Muuguzi katika Hospital ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro ametoa ya moyoni kwa kuonesha furaha yake kwa nyongeza ya mshahara iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Venance Matonya Muuguzi katika Hospital ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro

“Nyongeza ya mshahara tuliyoipata watumishi wa umma kutoka kwa Rais Samia imenisaidia kukidhi mahitaji yangu  binafsi pamoja na  familia yangu kwani kabla ya nyongeza hii ya mshahara maisha yalikuwa magumu” alisema Muuguzi Venance Matonya.

Aliendelea kusema kuwa Kweli Rais wetu na Mama yetu nakuombea kwa Mungu uendelee kuwa Kiongozi wetu wa Nchi ya Tanzania kwa miaka mingine mingi ili usaidie Watumishi wa umma na  Watanzania kupata  maendeleo zaidi.

Kwa upande mwingine Joseph Temba ambaye ni  Mtabibu Mwandamizi wa Hospital ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan mbali na nyongeza ya mishahara kwa watumishi pia ametoa ajira mpya kwa watumishi wa umma jambo ambalo limesaidia kutupunguzia kazi kubwa ya daktari mmoja kuwahudumia wagonjwa wengi kwa wakati mmoja.

Joseph Temba Mtabibu Mwandamizi Hospital ya Wilaya ya Siha

“Ni ukweli usipingika kuwa kabla ya ajira mpya kutolewa mimi pamoja na watumishi wenzangu wa afya katika Hospital ya Wilaya ya Siha tulikuwa tunachoka sana kwa kufanya kazi ya kuwahudumia idadi kubwa ya wagonjwa kwa siku mara nyingine nje ya uwezo wetu” alisema Mtabibu Mwandamizi Joseph Temba.

 Hospital ya Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro inayo Historia kubwa kwani Jiwe na Msingi la ujenzi wa Hospital hii liliwekwa na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 13 Novemba,2018 wakati huo akiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.