• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Mwananchi atoa bure eneo la kujenga shule ya Msingi

Posted on: November 2nd, 2021

Mwananchi mmoja wa Kijiji cha Mwinuko Kata ya Makiwaru Wilaya Siha Mkoa wa Kilimanjaro ndugu Solomoni Lukumay  ametoa eneo lake la  ardhi bure lenye ukubwa wa hekari mbili kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi kijijini hapo.

Mbunge wa Siha mhe.Dkt. Godwin Mollel(wa tatu kulia) akimpongeza ndugu Solomoni Lukumay(wa pili kulia)

Mwananchi huyo amefanya uamuzi huo mbele ya Mkutano wa hadhara kijiji hapo mwishoni mwa wiki baada ya kusikia kilio cha wananchi cha kutaka kujenga shule yao ya msingi ili kuwapunguzia usumbufu watoto wa kijiji hicho wanaokwenda umbali mrefu kusoma katika  vijiji vya jirani.

Kiongozi wa Kimila(kulia) akimpongeza ndugu Solomoni Lukumay (kushoto) kwa kutoa ardhi bure

Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu waziri wa afya mhe. Dkt. Godwin Mollel ameeleza kuwa Ndugu Solomoni Lukumay amefanya jambo la kuigwa na Wananchi wa Siha pamoja na Watanzania kwa ujumla kwa kuwa mzalendo wa kweli.

Baadhi ya Kinamama wakimpongeza ndugu Solomoni kwa kutoa eneo la ardhi kwa kijiji chao

Napenda nimshukuru sana ndugu yangu Solomoni mbele ya Wananchi wa Kijiji cha Mwinuko na mbele ya Wananchi wa Kata ya Makiwaru kwa tendo hili muhimu alisema mhe. Dkt. Mollel.

Diwani Kata ya Makiwaru mhe.Ezekiel Lukumay(wa pili kushoto) akiungana na Mbunge kumshukuru Solomon

Akiongea katika mkutano huo wa Kijiji cha Mwinuko,Diwani wa Kata ya Makiwaru mhe. Ezekiel Lukumay pia  amemshukuru ndugu Solomoni Lukumay kwa kutoa eneo lake bure na kuwa mfano wa kuigwa katika kijiji hicho.

Dkt. Godwin Mollel Mbunge wa Siha akisisitiza jambo katika mkutano huo

Amesema kuwa wananchi wa kijiji hicho wataendelea kumkumbuka kwa jambo alilolifanya la kuonesha upendo kwa wananchi wenzake na ametoa wito kwa wananchi wengine kuwa na moyo wa kujitolea katika masuala ya maendeleo ya  kijamii.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.