• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Mradi wa kuimarisha elimu ya awali na Msingi

Posted on: December 17th, 2022

MRADI WA KUIMARISHA ELIMU YA AWALI NA MSINGI-BOOST KUTEKELEZWA KWA MIAKA 5

Ofisi ya Rais Tamisemi Kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu Sayansi na Tekinolojia imeendesha mafunzo ya siku mbili Kwa timu ya Wataalam katika Halmashauri zote za Mkoa wa Tanga na Kilimanjaro.


Mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo timu ya usimamizi katika Kila Halmashauri za Kanda ya Kaskazini Mashariki Kwa mikoa ya Kilimanjaro na Tanga  yametolewa katika shule ya Sekondari ya Wasichana ya Korogwe kuanzia tarehe 16/12/2022 Hadi tarehe 17/12/2022


siku ya ufunguzi wa Mafunzo akitoa taarifa fupi  ya utekelezaji wa  mradi  mwalimu Reuben Swilla ambaye ni mratibu Msaidizi wa mradi wa BOOST kutoka ofisi ya Rais Tamisemi alieleza kuwa mradi umelenga kuboresha na kuimarisha elimu ya awali na Msingi katika Halmashauri zote 184.

Alisema kuwa mradi wa BOOST utatekelezwa Kwa muda wa miaka 5 na  umeanza kutekelezwa 2021/2022 na utaendelea Hadi mwaka 2025/2026

 Mradi kitaifa umezimduliwa rasmi tarehe 13/12/2022 Mkoa wa Arusha na Viongozi mbalimbali walipatiwa mafunzo ya utekelezaji wa mradi na mafunzo yatatolewa nchi nzima Kwa timu za Wataalam wa Halmashauri na Mikoa na kukamilika tarehe 23/12/2022 alisema mwl.Reuben


Aliongeza kuwa mradi huu unatekelezwa Kwa mfumo wa lipa kutokana na matokeo na kutoa Rai Kwa Halmashauri zote kutimiza vigezo vyote vinavyohitajika ili kunufaika kikamilifu na mradi huu.

Aliwaeleza Washiriki kuwa mradi unamategemeo ya kujenga vyumba vya Madarasa ya awali zaidi ya 12,000 na Kila Halmashauri hapa nchini itanufaika na utekelezaji wa mradi.


Pia mradi huu utasaidia kupatikana Kwa vifaa vya kisasa vya Tehama Kwa shule za Msingi  zaidi ya 800 hapa nchini na Kila Mkoa na Halmashauri zitanufaika katika kuboresha mazingira Bora ya kufundishia na kujifinzia alisema mwl Reuben

Mradi wa BOOST utasaidia katika kuongeza idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa elimu ya awali na Msingi Kila mwaka na kuongeza asilimia kutoka asilimia 76.9 ya mwaka 2021/2022 Hadi kufikia asilimia 85 mwaka 2025/2026 wakati mradi huu utakapokamilika.


Akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo timu ya Wataalam wa kutekeleza mradi wa BOOST kutoka Mkoa wa Tanga na Kilimanjaro pamoja na  wataalam wa Halmashauri zote za Mikoa hii miwili Leo 17 Disemba,2022 Mgeni rasmi ndugu Julius Migeha ambaye ni Mkurugenzi katika idara ya usimamizi wa Elimu anayeshughulikia elimu maalum,elimu ya watu wazima,elimu Kwa Michezo  na elimu nje ya mfumo rasmi kutoka Ofisi ya Rais Tamisemi.

Mgeni rasmi alitoa wito Kwa Washiriki wote waliopata mafunzo kutumia mafunzo walioyopata katika kufanikisha malengo ya mradi uliokusudiwa na kutimiza vigezo vyote vilivyowekwa kulingana na Kila afua katika mradi huu.

Mwisho mgeni rasmi aliwata timu ya utekelezaji kupeleka elimu ya  utekelezaji wa mradi huu Kwa Wananchi,wadau mbalimbali wa maendeleo pamoja na viongozi mbalimbali waliopo katika Halmashauri ya Wilaya na ngazi ya Mkoa ili Kwa pamoja mafanikio yapatikane.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.