• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

MIRADI YA MWENGE WA UHURU WILAYA YA SIHA 2021

Posted on: June 4th, 2021

Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 utatembelea na kuzindua jumla ya miradi 9 katika Wilaya ya Siha yenye thamani ya shilingi za Kitanzania zaidi ya  Bilioni 18.

Mwenge wa uhuru utapokelewa Wilaya ya Siha tarehe 10.6.2021 katika kijiji cha Lawate na kukimbizwa maeneo mbalimbali ya Wilaya katika miradi ifuatayo

i.Mwenge utatembelea mradi wa ujenzi wa Maabara ya Kisasa Hospital ya Taifa ya Kibong'oto,ujenzi huu  utagharimu shilingi Bilioni 11.2 ambapo mradi  huu umetekelezwa kwa awamu mbili

Jengo la Maabara ya Kisasa Kobong'oto Wilaya ya Siha

ii. Mwenge wa Uhuru pia utaweka jiwe la msingi katika ujenzi wa kituo cha kisasa cha Polisi Sanya Juu -Wilaya ya Siha,gharama za ujenzi ni shilingi Milioni 184.2,ujenzi huu umechangiwa na wananchi na jamii kwa lengo la kuboresha ulinzi na usalama kwa wananchi

jengo la kituo cha kisasa Sanya Juu-Wilaya ya Siha

iii. Mwenge utatembelea mradi wa Maji Magadini -Makiwaru(Gararagua Branchi Line) ,gharama za Mradi ni shilingi Bilioni 1.3

Tanki kubwa la maji katika mradi huu

iv. Mradi wa zao la Macademia Nuts  katika shamba la Namuai Farm LTD ,gharama za mradi huu ni shilingi Bilioni 8.6

Zao la Macademia nuts

v.Mwenge utatembelea mradi wa kikundi cha vijana kijiji cha Mwangaza kilimo cha majani Saileji(chakula bora cha mifugo),gharama za mradi huu ni shilingi milioni 22

shamba la majani aina ya saileji-kijiji cha Mwangaza

vi. Uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa Madarasa 4,Maktaba 1 na ofisi mbili za walimu katika shule ya Sekondari Namwai.Gharama za mradi ni shilingi milioni  224

madarasa 4 yatakayozinduliwa na Mwenge Namwai Sekondari

vii. mradi wa uzinduzi wa daraja  la mto Biriri (Muwara- Kata ya Makiwaru),Gharama za mradi huu ni shilingi milioni 70.8



Daraja la Mendai-Karansi

 Pia mwenge wa Uhuru ukiwa  Wilaya ya Siha  utafanya uzinduzi wa mradi wa Maji katika Kijiji cha Ormelili na Sinai,gharama za mradi ni shilingi milioni 79.5.

Aidha,Mwenge wa Uhuru utatembelea mradi wa kikundi cha watu wenye ulemavu MAJES Kijiji cha Wiri Kata ya Gararagua,Gharama za mradi huu ni shilingi Milioni 12.8

NB. Kauli mbiu: "TEHAMA NI MSINGI WA TAIFA ENDELEVU; ITUMIE KWA USAHIHI NA UWAJIBIKAJI"

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.