• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Milioni 59 zatolewa kwa vikundi 20 vya Wanawake - Siha

Posted on: April 16th, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro imetoa mikopo kwa vikundi 20 vya Wanawake yenye thamani ya shilingi milioni 59

Zoezi la utoaji wa mikopo limefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha tarehe 16.4.2019 ambapo Kaimu mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Agnes Hokororo ambaye pia ni mkuu wa Wilaya ya Rombo alikuwa mgeni rasmi katika Zoezi hilo. 

Katika hotuba yake mhe. Hokororo Alitoa pongezi nyingi kwa halmashauri ya Siha kwa kupata mafanikio makubwa katika utoaji wa mikopo kwa vikundi vya Wanawake.

Napenda kuwaasa kinamama wa Wilaya ya Siha kuendelea kudumisha umoja wenu katika kuendeleza vikundi mlivyonavyo huku Serikali kupitia halmashauri itaendelea kuwapatia mikopo yenye masharti nafuu alisema Mhe. Hokororo

Pia mhe. Hokororo alitoa wito kwa halmashauri ya Siha kuhakikisha kuwa,  inatoa mikopo kwa watu wenye ulemavu bila kusahau vikundi vya vijana kama ilivyo agizo la Serikali yetu.

Akizungumza kabla ya utoaji wa mikopo hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha ndugu Valerian Juwal ,alieleza kuwa mikopo inayotolewa kwa vikundi 20 vya Wanawake itawanufaisha  zaidi ya  watu 479 ndani ya Wilaya ya Siha.  Leo tunawapatia vikundi 19 kila kimoja shilingi milioni 3 na kikundi kimoja kinapata shilingi milioni 2 alisema Juwal

Alieleza kuwa kwa miaka miwili iliyopita (2016/2017 & 2017/2018) Halmashauri ya Wilaya ya  Siha imekuwa ikipata tuzo kwa kuwa miongoni mwa Halmashauri za mfano hapa Tanzania kwa kutoa mikopo kwa kiwango kikubwa.

”Napaenda kueleza kuwa katika mwaka huu wa fedha 2018/2019 Halmashauri ya Siha imedhamiria kushika nafasi za juu kabisa miongoni mwa Halmashauri zitakazofanikiwa kutoa mikopo kwa wingi  kwa vikundi vya  Wanawake” alisema Juwal.

Utoaji wa mikopo kwa wanawake katika Halmashauri hapa nchini ni utekelezaji wa agizo la Serikali ya awamu ya tano kuwa ,asilimia 4 za mapato ya ndani ya kila Halmashauri zitolewe kama mikopo kwa Wanawake,asilimia 4 mikopo kwa vijana na asilimia 2 itolewe kama mikopo kwa watu wenye ulemavu.

Baadhi ya Wanawake waliopatiwa mikopo wakiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Siha wakifurahia zoezi la utoaji wa mikopo


Wah. Madiwani wanawake Halmashauri ya Siha wakishuhudia zoezi la utoaji wa mikopo kwa vikundi 20 vya wanawake,zoezi lilifanyika tarehe 16.4.2019 ktk ukumbi wa Halmashauri ya Siha


Mkurugenzi Mtendaji H/W Siha ndugu Valerian Juwal (kulia) akisoma orodha ya vikundi 20  vya wanawake vilivyopatiwa mikopo ya shilingi Mil.59  na Halmashauri ya Siha 

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.