• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

KAMATI YA USALAMA WILAYA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: December 10th, 2025

ZIARA YA KUU

SHULE YA AWALI NA MSINGI WIRI: Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt. Christopher Timbuka leo Desemba 08, 2025 ameiongoza Kamati ya Usalama Wilaya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa vyumba viwili vya madarasa ya mfano ya awali na matundu sita (6) ya vyoo unaotekelezwa kwa fedha Shilingi Milioni 70.1 kutoka Serikali Kuu pamoja na ukamilishaji wa chumba kimoja (1) cha darasa kinachotekelezwa kwa Shilingi Milioni 20 kutoka Serikali Kuu katika shule ya Awali na Msingi Wiri iliyopo Kata ya Gararagua.

CHUO CHA UFUNDI STADI (VETA): Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt. Christopher Timbuka ameiongoza Kamati ya Usalama Wilaya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa chuo cha ufundi stadi (VETA) unaotarajiwa kugharimu fedha Shilingi Bilioni 1.65 kutoka Serikali Kuu mpaka kukamilika kwake.

Majengo yanayojengwa katika awamu hii ni pamoja na nyumba ya mkuu wa chuo, jengo la utawala, vyumba vya madarasa, vyoo vya jumuiya, karakana ya ushoni na upishi, karakana ya useremala na uashi, karakana ya umeme na bomba, kibanda cha umeme na kibanda cha mlinzi.

ZAHANATI YA LOIWANG: Kamati ya Usalama Wilaya ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt. Christopher Timbuka imeridhishwa na maendeleo ya ukamilishaji wa mradi wa ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Loiwang iliyopo Kata ya Donyomuruak unaoyekelezwa na Serikali kwa Shilingi milioni 60.

Mradi huo uliibuliwa na wananchi wa Kijiji cha Loiwang kwa lengo la kusogeza na kuboresha huduma za afya kwa wananchi wanaoishi katika kijiji hicho na vijiji jirani huku serikali ikiwaunga mkono baada ya kunyanyua boma la zahanati ambapo Halmashauri kupitia mapato ya ndani ilitoa shilingi Milioni 15 ili kuwawezesha kuezeka jengo la zahanati.

Akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo Mhe. Dkt. Christopher Timbuka amesisitiza spidi iongezwe ili kukamilisha mapema na ubora wa mradi uendelee kuzingatiwa wakati wote wa utekelezaji.

HOSPITALI YA WILAYA YA SIHA: Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt. Christopher Timbuka ameiongoza Kamati ya Usalama Wilaya kufanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha ukiwemo mradi wa jengo la kuhifadhia (mortuary), njia za waenda kwa miguu (Walk way) na Wodi ya upasuaji Wanawake, Wodi ya upasuaji Wanaume na wodi la magonjwa ya ndani wanawake ambayo ukamilishaji wake umefanyika baada ya Serikali Kuu kutoa Shilingi Milioni 200 za ukamilishaji.

Pia kamati ya usalama imetembelea jengo la kufulia ili kuona mitambo ya kufua nguo, kukausha na kupiga pasi nguo zinazotumika hospitalini hapo ambavyo ufungaji wake umekalika.

SHULE YA AWALI NA MSINGI LOIWANG: Mradi wa ujenzi wa Vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Awali na Msingi Loiwang kupitia fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri Shilingi Milioni 32.5 na Shilingi milioni 17.5 kutoka Serikali Kuu umekaguliwa leo na Kamati ya Usalama Wilaya ikiongozwa na Mhe. Dkt. Christopher Timbuka Mkuu wa Wilaya ya Siha.

Mradi huo unalenga kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia kwa wanafunzi na walimu katika Shule hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • TAARIFA YA KUTEULIWA KUWA WATENDAJI NA KUITWA KWENYE MAFUNZO UCHAGUZI December 19, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA USALAMA WILAYA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    December 10, 2025
  • MATOKEO DARASA LA SABA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA SIHA 2025

    November 05, 2025
  • Salamu za Pongezi

    November 04, 2025
  • Salamu za Pongezi

    November 04, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.