• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

KAMATI YA FEDHA YAELEKEZA SPIDI IONGEZWE UJENZI WA NYUMBA YA MKURUGENZI

Posted on: October 25th, 2023

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mhe Duncan Urassa ameelekeza spidi ya ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha inayojengo kwa fedha za Serikali Kuu Shilingi Milioni 150 ili  nyumba hiyo ianze kutumika na kufikia lengo la Serikali la kuboresha mazingira ya kufanyia kazi kwa watumishi.

Mhe. Urassa ametoa maelekezo hayo leo Oktoba 25, 2023 wakati wa ziara ya Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Ziara ya Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango leo imetembelea na kukagua miradi ya afya, Elimu na Utawala ikiwa ni pamoja na Jengo la watumishi katika zahanati ya Roseline katika kata ya Ndumeti,  Zahanati ya Mwangaza katika kata ya Ngarenairobi, Ujenzi wa Mabweni katika shule ya sekondari Namwai, Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi - VETA na Ujenzi wa Shule Mpya ya Mkoa ya Waschana (Kilimanjaro Girls High School)

Matangazo

  • TANGAZO MKUTANO WA MWAKA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 04/8/2023 August 02, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MASHAMBA MSIMU WA VULI 2023 September 04, 2023
  • TANGAZO NAFASI AJIRA YA MUDA SIHA DC September 19, 2023
  • Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 shule za Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro July 14, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • BILIONI 10.59 ZABORESHA ELIMU SEKONDARI WILAYANI SIHA

    December 01, 2023
  • RAIS SAMIA ABORESHA SEKTA YA ELIMU SEKONDARI

    December 01, 2023
  • TAKUKURU SIHA YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA UMMA

    December 01, 2023
  • TAKUKURU SIHA WATOA MAFUNZO YA UADILIFU

    December 01, 2023
  • Ona Zote

Video

MADAKTARI BINGWA WATOA HUDUMA WILAYA YA SIHA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.