• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

DED Siha Awapongeza Watumishi wa Umma kwa Utumishi Bora kwa Mwaka 2023/2024

Posted on: July 11th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt Haji Mnasi amewashukuru watumishi wote kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa ambao umewezesha halmashauri kupata hati safi, kukusanya mapato kwa asilimia zaidi ya 100, usimamizi wa miradi ya mendeleo yenye ubora na kufanikisha Halmashauri kuwa ya tatu kwenye utoaji wa taarifa kwa wananchi kwa mwaka 2023/2024.

Dkt Mnasi ametoa shukrani hizo leo Julai 11, 2023 kwenye kikao kazi cha Mkurugenzi na watumishi wa makao makuu ya Halmashauri, Timu ya usimamizi na uendashaji wa idara ya afya Wilaya (CHMT), watendaji wa kata (WEO) na watendaji wa Vijiji (VEO) kwa lengo kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha utendaji kazi kwa mwaka mpya wa fedha wa 2024/2025.

Amesema kutoakana na ushirikiano huo Halmashauri ya Siha inatajwa kama mfano katika usimamizi wa miradi na ukusanyaji wa mapato kwa Mkoa wa Kilimanjaro na taifa kwa ujumla.

“Ninawashukuru Kipekee kabisa kwa namna ambavyo mnavyonipa ushirikiano, ni kwa sababu yenu watumishi Halmashauri ya siha inaendelea kufanya vizuri katika nyanja mbalimbali na kutwajwa kuwa ya mfano kwa Mkoa wa Kilimanjaro” amesema Dkt Mnasi.

“Tumefanya vizuri sana katika mwaka wa fedha 2023/24, Tumekusanya mapato ya ndani kwa asilimia zaidi ya 100, tumeiwezesha Halmashauri kupata hati safi kwa kujibu hoja za GAG kwa ufasaha, tumekamilisha miradi ya maendeleo kwa ubora kwenye maeneo yetu, hii yote ni kwa sababu ya ushirikiano tulionao” ameongeza Dkt Mnasi

Amewataka watumishi kuendelea kufanya kazi kwa nidhamu, ufanisi na kwa kufuata sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya utumishi wa umma ili kuendelea kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi wa Wilaya ya Siha.

Mkurugenzi Mtendaji amefanya kikao kazi na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri, Timu ya usimamizi na uendashaji wa idara ya afya Wilaya (CHMT), Watendaji wa Kata (WEO) na Watendaji wa Vijiji (VEO) kwa lengo kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha utendaji kazi kwa mwaka mpya wa fedha wa 2024/2025.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt Haji Mnasi akizungumza kwenye kikao kazi cha Mkurugenzi na watumishi wa makao makuu ya Halmashauri, Timu ya usimamizi na uendashaji wa idara ya afya Wilaya (CHMT), watendaji wa kata (WEO) na watendaji wa Vijiji (VEO) kwa lengo kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha utendaji kazi kwa mwaka mpya wa fedha wa 2024/2025.

 Watumishi wa makao makuu ya Halmashauri, Timu ya usimamizi na uendashaji wa idara ya afya Wilaya (CHMT), watendaji wa kata (WEO) na watendaji wa Vijiji (VEO) wakiwa kwenye kikao kazi na  Mkurugenzi Mtendaji chenye lengo kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha utendaji kazi kwa mwaka mpya wa fedha wa 2024/2025.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.