• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

DED Siha awapongeza watumishi wa umma kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa

Posted on: March 11th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt Haji M. Mnasi amewashukuru watumishi wa umma wa makao makuu ya  Halmashauri kwa ushirikiano wanaotoa katika utekelezaji wa shughuli za serikali ikiwemo kuwahudumia wananchi na wakazi wa wilaya ya siha, usimamizi wa miradi ya maendeleo na ukusanyaji wa mapat6o ya ndani.

Dkt Mnasi ametoa pongezi hizo leo Machi 11, 2024 wakati wa kikao kazi na watumishi wa umma wa makao makuu kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya ya Halmashauri kwa lengo la kuwasikiliza na kutoa maelekezo ya kufuata miongozo ya utumishi wa umma ikiwemo Nidhamu na mahusiano mema kazini, utoaji wa mrejesho mapema (feedback) kwa watumishi na wananchi wanafuata huduma.

Amewaasa watumishi wa umma kufanya kazi kwa nidhamu ya hali ya juu na kudumisha mahusianoi chanya yanayolenga kuchochea uwajibikaji kazini na kuchangia uwepo wa matokeo chanya wakati wa utoaji wa huduma.

Aidha, Dkt Mnasi amewasisitiza watumishi wa umma kufanya kazi kwa kuzingatia miongozo, kanuni na taratibu ikiwemo uzingatiaji wa muda wa kufika kazini na utunzaji wa siri za serikali.

“Unajua tukiwajibika kama tunavyotakiwa kwenye kuwahudumia wananchi, usimamiaji wa miradi na uzingatiaji wa Miongozo, Kanuni na Sheria itachochea kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa matokeo chanya kwa wananchi na nchi kwa ujumla”  amesema Dkt Mnasi Mkurugenzi Mtendaji.

Baadhi ya Watumishi wa Umma wa makao makuu wakiwa kwenye kikao kazi na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Siha katika ukumbi wa mkutano wa makao makuu ya Halmashauri leo Machi 11, 2024.

Watumishi wa Umma wa makao makuu wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Daktari Haji M. Mnasi (Tano kushoto) kikao kazi katika ukumbi wa mkutano wa makao makuu ya Halmashauri leo Machi 11, 2024.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.