• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

DED Siha Awaelekeza Watumishi kuwa Wawajibikaji

Posted on: July 11th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt Haji Mnasi amewaelekeza watumishi wa umma kuwa wawajibikaji katika maeneo wanayoyasimamia.

Akizungumza kwenye kikao kazi cha Mkurugenzi na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri, Timu ya usimamizi na uendashaji wa idara ya afya Wilaya (CHMT), Watendaji wa Kata (WEO) na Watendaji wa Vijiji (VEO) kwa lengo kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha utendaji kazi kwa mwaka mpya wa fedha wa 2024/2025 leo Julai 11, 2023, Dkt Mnasi amehimiza watumishi wote kuwajibika katika maeneo yao ya usimamizi hasa ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa miradi ya maendeleo.

Amesema suala la ukusanyaji wa mapato ni ajenda namba moja ya Halmashauri hivyo kila Mtumishi wa umma kuanzia ngazi ya kijiji hadi Wilaya anatakiwa kushiriki kikamilifu kwa kuweka mikakati bora na kuisimamia ili kufikia lengo la kukusanya mapato ya ndani kwa asilimia 100.

“Suala la ukusanyaji wa mapato ya ndani kwenye vyanzo vyote liwe ajenda namba moja kwa mwaka wa fedha 2024/2025, kwa watumishi wote kuanzia kwa wakuu wa Idara na vitengo hadi kwa watendaji wa vijiji mna jukumu la kukusanya mapato” amesema dkt Mnasi.

“Niwahimize pia kila mmoja atumie mifumo ya serikali ukiwemo wa watumishi wa umma (PEPMIS) na Mfumo wa Manunuzi kwa taasisi za umma (Nest) ili kuboresha utendaji kazi kwa mwaka wa fedha 2024/2025” ameongeza Dkt Mnasi.

Amewataka watendaji wa kata na vijiji kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika maeneo wanayoyasimamia na kuacha kusubiri viongozi ngazi ya Wilaya kuja kutatua kero ambayo ipo ndani ya uwezo wao.

“ukishindwa kuwasikiliza, kuwahudumia na kutatua changamoto za wananchi waliopo kwenye eneo lako la utawala basi na wewe ni sehemu ya tatizo hilo, niwaombe tutatue migogoro na kufanya vikao vya mara kwa mara” amesema Mkurugenzi Mtendaji Dkt Haji Mnasi.

Mkurugenzi Mtendaji amefanya kikao kazi na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri, Timu ya usimamizi na uendashaji wa idara ya afya Wilaya (CHMT), Watendaji wa Kata (WEO) na Watendaji wa Vijiji (VEO) kwa lengo kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha utendaji kazi kwa mwaka mpya wa fedha wa 2024/2025.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt Haji Mnasi akizungumza kwenye kikao kazi cha Mkurugenzi na watumishi wa makao makuu ya Halmashauri, Timu ya usimamizi na uendashaji wa idara ya afya Wilaya (CHMT), watendaji wa kata (WEO) na watendaji wa Vijiji (VEO) kwa lengo kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha utendaji kazi kwa mwaka mpya wa fedha wa 2024/2025.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.