• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

DED SIHA APONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: February 2nd, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mhe. Duncan Urassa ameipongeza ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika wilaya ya siha.

Mhe. Urassa ametoa pongezi hizo leo Februari 02, 2024 wakati wa ziara ya kamati ya fedha, uongozi na mipango ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Wilaya ambapo amesema kazi iliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkoa wa Kilimanjaro (Kilimanjaro Girls) ni nzuri na thamani ya fedha inaonekana kwenye mradi.

Amesema Mkurugenzi pamoja na timu yake imefanya kazi kwa ufanisi ambapo mpaka sasa shule hiyo imepokea wanafunzi wa kidato cha kwanza kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Kilimanjaro na wanasoma katika mazingira bora na salama.


“Kwa kazi iliyofanyika hapa Mkurugenzi unastaili kupongezwa, wakati tunaanza utekelezaji wa mradi huu watu hawakutegemea kama wanafunzi wangeripoti na kuanza masomo mara moja lakini wewe na timu yako pamoja na Mkuu wa Wilaya mkahamishia nguvu hapa, na sasa wanafunzi wameripoti na wapo darasani” amesema Mhe. Urassa.

Naye mkurugenzi Mtendaji Haji Mnasi, PhD amemshukuru mwenyekiti wa halmashauri kwa ushirkiano mkubwa anaotoa pamoja na waheshimiwa madiwani kwani ushauri na mapendekezo wanayotoa yamekuwa yakichagiza kwa kiasi kikubwa kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Amesema wakati wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo mwenyekiti wa halmashauri amekuwa akifanya ziara za kushtukiza ili kushuhudia kazi inayofanyika maeneo ya miradi na kutoa ushauri na maboresho pale inapohitajika.

“Tukushukuru sana Mwenyekiti pamoja na timu yako ya Waheshimiwa Madiwani kwa ushirikiano mkubwa mnaotupa na mnapotupongeza maaana yake ni kwamba mnatupa nguvu ya kuendelea kufanya kazi nzuri kwa manufaa ya wananchi wa Wilaya ya Siha” amesema Mkurugenzi Mtendaji Mnasi.

Kamati ya fedha, uongozi na mipango imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji, Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kilimanjaro, Hospitali ya Wilaya, Ujenzi wa Bweni katika Shule ya Sekondari Namwai, Ujenzi wa Kituo cha Afya na Ujenzi wa nyumba ya Mtumishi Zahanati ya Roseline.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.