• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

DC SIHA AMPONGEZA MKURUGENZI KWA KUKAMILISHA MIRADI YA ELIMU

Posted on: October 11th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka oktoba 11, 2023 amempongeza mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya siha Dkt Haji Mnasi na Timu yake ya wataaalamu kwa kusimamia kwa ufanisi na kukamilisha ujenzi wa miradi ya maendeleo katika Shule ya Sekondari Sanya Juu  na Shule ya Sekondari Oshara zilizopokea shilingi Milioni 464.4 kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili, Madarasa 7 na Matundu ya vyoo 14 kutoka serikali kuu.


Mkuu wa Wilaya Dkt Timbuka ametoa pongezi hizo wakati wa ziara yake na kamati ya ulinzi na usalama kukagua ujenzi unaoendelea wa miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Siha ambapo amesema miradi hiyo imesimamiwa vyema na thamani ya fedha katika miradi hiyo inaonekana.


Mhe. Dkt Timbuka amewaelekeza kuendeleza ufanisi huo ili kuhakikisha miradi inakamailika kwa wakati na  kuzingatia ubora unaotakiwa kwenye miradi inayoendelea kutekelezwa kwa hivi sasa ikiwemo mradi wa chuo cha ufundi stadi VETA cha Wilaya ya Siha na Shule ya Sekondari ya Waschana ya Mkoa Kilimanjaro Girls High School inayojengwa katika kijiji cha mawasiliano kata ya Gararagua.

Pia Kamati ya ulinzi na usalama imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa chuo cha VETA kitakachogharimu Shilingi Bilioni 1.4 kutoka serikali kuu hadi kukamilika kwake ambapo wamepongeza jitihada Wataalamu na Mafundi katika kuhakikisha wanafikia malengo ya Serikali ya ujenzi wa miundombinu bora ya Sekta ya Elimu.


Kwa upande wake mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya siha Haji Mnasi wamewaoelekeza Walimu kusimamia vyema miundombinu hiyo na kutunza mazingira ilikupunguza uharibifu ili matokeo yaliyopkusudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ya kuongeza na kuboresha miundombinu ya Kidato cha Tano kwa Mwaka 2023 yafikiwe.

Miradi iliyotembelewa na Kamati ya ulinzi na usalama ni pamoja na miradi ya afya, ambapo imetembelea Hospitali ya Wilaya ya Siha na miradi ya Elimu ambapo pia wametembelea Chuo cha Ufundi Stadi VETA, Shule ya Sekondari Oshara , Shule ya Sekondari Sanya juu na Shule ya Sekondari Namwai.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA DC JUNI 2025 June 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU MWENGE WA UHURU WILAYA YA SIHA

    June 25, 2025
  • Miradi ya Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha 2015

    June 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha tarehe 3 Juni,2025

    June 24, 2025
  • Mazoezi ya Maandalizi ya Mwenge wa Uhuru SIHA

    June 20, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.