• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

BILIONI 10.59 ZABORESHA ELIMU SEKONDARI WILAYANI SIHA

Posted on: December 1st, 2023

BILIONI 10.59 ZABORESHA SEKTA YA ELIMU SEKONDARI KIPINDI CHA AWAMU YA SITA 

Katika kipindi cha miaka mitatu cha uongozi wa awamu ya sita kinachoongozwa na Mhe Dkt.Samia Suluhu Hassan Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Siha imepokea zaidi ya shillingi billion 10.59 kuboresha sekta ya Elimu Sekondari .

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Siha Dkt. Haji Mnasi Novemba 24,2023 wakati akiongea na vyombo vya habari  katika ukumbi wa mikutano wa Mkuu wa Mkoa  Kilimanjaro.

Dkt.Mnasi akisoma taarifa ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha ametaja mafanikio hayo ikiwa ni katika sekta ya Elimu Sekondari  ambapo ameeleza kuwa  Halmashauri ya Wilaya ya Siha katika kipindi cha awamu ya sita chini imepokea billion 7.92 za ujenzi na uboreshaji wa miundombinu katika shule za Sekondari na shilingi  billion 2.67 zikiwa ni fedha za  elimu bila malipo.

“Taarifa iliyowasilishwa na Dkt. Haji Mnasi imeeleza kuwa fedha zilizopokelewa na Halmashauri zimetumika katika ujenzi wa shule  2 mpya za Sekondari,ujenzi wa vyumba 109  vya madarasa, Ujenzi wa vyumba 16  vya Maabara,ujenzi wa nyumba 17 za Walimu,ujenzi  wa matundu 88 ya vyoo pamoja na  ujenzi wa mabweni 12 ya wanafunzi

Dkt. Mnasi amesema kuwa,mafanikio yote hayo yametokana na moyo wa kujituma na hari ya kufanya kazi miongoni mwa wasimamizi wa miradi hiyo mikubwa ya maendeleo.

Taarifa ya Halmashauri ya siha iliyotolewa kwa vyombo vya habari Novemba 24,2023 emeeleza kuwa katika kipindi cha uongozi wa  Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro imepokea jumla ya shilingi billion 21.75 kwa ajili ya utekelezaji wa  miradi mbalimbali ya maendeleo katika  sekta ya elimu,afya,kilimo na mifugo,uwezeshaji wananchi kiuchumi na Mifuko ya TASAF.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.