• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Bajeti Halmashauri ya Wilaya ya Siha 2022/2023 yafikia shilingi Bil. 22.308 Bil. 22.308

Posted on: August 12th, 2022

Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha 2022/2023 yafikia shilingi Bil. 22.308

Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani  uliokutana leo tarehe 12.08.2022 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha pamoja na mambo mengine  umepitia na kujadili  mpango wa bajeti ya Halmashauri ya Siha ulioidhinishwa na Bunge kwa mwaka 2022/2023.

Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mhe.Duncan Urassa akifafanua jambo katika Mkutano huo

Katika Mkutano huo,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha ndugu Pendo Mangali amewasilisha bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha iliyoidhinishwa na Bunge kwa mwaka 2022/2023  yenye kiasi cha jumla ya shilingi Bilioni 22.308.

Wah.Madiwani Halmashauri ya Siha wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa bajeti iliyoidhinishwa

Mkurugenzi Mtendaji amewaeleza Wajumbe wa Mkutano kuwa,bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha iliyoidhinishwa na Bunge ni  kiasi cha jumla ya  shilingi 22,308,357,000 kutokana na makusanyo ya  vyanzo mbalimbali vya mapato ya ndani ya Halmashauri(own source),Ruzuku kutoka Serikali kuu pamoja na Ruzuku kutoka kwa washirika wa maendeleo.

Aidha,alieleza wajumbe wa Baraza la Madiwani kuwa katika bajeti hiyo,Vyanzo vya Mapato ya ndani ni shilingi 1,974,360,000/=,Ruzuku kutoka Serikali Kuu jumla ya shilingi 16,827,738,000/= na Ruzuku kutoka washirika wa maendeleo jumla ya shilingi 3,506,259,000/=.

Utekelezaji wa bajeti mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwa mwaka wa fedha 2022/2023 umeanza rasmi 01 Julai, 2022

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.