• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Wasifu

Mhe. Duncan B Urassa
Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Siha

NENO LA UKARIBISHO

Halmashauri ya Wilaya ya Siha ilianzishwa mwaka 2007 Julai 01 kwa sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 2002, Halmashauri ya Wilaya ya Siha ni miongoni mwa Halmashauri 6 za Mkoa wa Kilimanjaro.  Wilaya ya Siha inajumla ya ukubwa wa kilomita za mraba 1158,Idadi ya watu ni 116313 wanaume 56500 na Wanawake 59813 (Sensa ya watu na makazi ya 2012). Wilaya ya Siha ndiyo Wilaya ya pekee yenye makabila zaidi ya 120

MIPAKA

Kaskazini imepakana na Loitok na Wilaya ya Rombo kwa Sehemu,Kusini imepakana na Wilaya ya Hai,Mashariki imepakana na hifadhi ya Mlima mrefu Barani Afrika Mlima Kilimanjaro,Kaskazini Magharibi imepakana na Wilaya ya Longido, Magharibi imepakana na Wilaya ya Arumeru. Halmashauri ya Siha inazo Tarafa 5,Kata 17,Vijiji 60 na Vitongoji 169,shule za Sekondari 21,Shule za Msingi 64,Hospitali 2 moja ya Taifa ya Kifua Kikuu na Nyingine ya Wilaya

SHUGHULI ZA KIUCHUMI

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha hujishughulisha na shughuli za Kilimo na Ufugaji  na  baadhi hujishughulisha na biashara. Mazao yanayolimwa sana Wilaya ya Siha ni Mahindi,Maharage,Ngano,Kahawa,Shairi,Ndizi,Parachichi,viazi mviringo  na Mazao ya mboga mboga. Pia Wilaya ya Siha inaloshamba kubwa la msitu wa kupandwa wa Serikali eneo la West Kilimanjaro. Pia Watalii na Wageni mbalimbali wanapanda mlima Kilimanjaro kupitia Lango la Londorosi lililopo West Kilimanjaro Wilaya ya Siha

FURSA zilizopo

Halmashauri ya Wilaya ya Siha ndiyo Halmashhauri ya pekee mkoa wa Kilimanjaro yenye vyanzo vingi vya maji tiririka yanayotoka katika kilele cha mlima Kilimabnjaro na upatikanaji wa maji hadi mwezi Desemba 2020 umefikia asilimia 90,Mashamba makubwa yanayomilikiwa na vyama vya ushhirika pamoja na watu binafsi,maeneo ya uwekezaji katika sekta ya Kilimo,Elimu,mifugo, Hoteli za Kitalii na za Kawaida, Umeme umefika kila eneo katika Halmashauri ya Siha ,Barabara zinazopitika majira yote ya mwaka

HALI NA AMANI

Halmashauri ya Wilaya ya Siha inawatu wakarimu,Wapole na Wanaopenda watu wote wa Mataifa mbalimbali. Hali ya amani na Utulivu imatamalaki wakati wote wa mwaka

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.