• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

ZINGATIENI SHERIA, KANUNI, MAELEKEZO YA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI – MARCO MASUE

Posted on: August 4th, 2025

Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la siha marco masue amesihi wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya kata kuzinagtia sheria, miongozo, taratibu na maelekezo yatakayotolewa na tume huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha Uchaguzi unakuwa huru na haki.

Msimamizi wa Uchaguzi masue ametoa rai hiyo leo Agosti 04, 2025 wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa wasimamizi ngazi ya kata yaliyofanyika katika ukumbi wa Maina uliopo kata ya Nasai ambapo amewataka kujiepusha kuwa chanzo cha malalamiko na manung’uniko kutoka vyama vya siasa na wadau wa Uchaguzi.

Amewasisitiza kusoma katiba, sheria, kanuni, miongozo na maelekezo  mbalimbali yanayotolewa na tume ya huru ya Uchaguzi na kuvishirikisha vyama vyote  vya siasa vyenye usajili kamili katika hatua zote kwa kuzingatia matakwa ya katiba, sheria na maelekezo yanayotolewas na tume.

“Uchaguzi ni mchakato unazingatia hatua na taratibu mbalimbali za kikatiba na kisheria na zinapaswa kufuatwa, na ndiyo msingi wa Uchaguzi kuwa mzuri na wenye ufanisi, hivyo kupunguza au kumaliza kabisa malalamiko wakati wote wa Uchaguzi, kwa hiyo tume inategemea mtafanikisha zoezi hili muhimu kwa ufanisi” amesema Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Siha Marco Masue.

“Msiache kusoma katiba, sheria, kanuni, taratibu, miongozo na fuateni maelekezo mbalimbali yatakayotolewa na tume huru ya Uchaguzi ili kujiimarisha na kutekeleza kwa ufanisi majukumu yenu ambayo tume ya Uchaguzi imewapa” ameongeza Msimamizi wa Uchaguzi Masue.

Mafunzo kwa wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya kata yatafanyika kuanzia leo tarehe 04 Agosti hadi tarehe 06 Agosti, 2025 kwa ili kuwajengea uwezo wa kutekeleza majukumu  na kufahamu mambo muhimu ya kuzingatia wakati wote wa Uchaguzi.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA DC JUNI 2025 June 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • WAZIRI BASHUGWA AZINDUA KITUO KIPYA CHA POLISI WANANCHI SIHA

    August 06, 2025
  • ZINGATIENI SHERIA, KANUNI, MAELEKEZO YA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI – MARCO MASUE

    August 04, 2025
  • Menejimenti SIHA DC yaendelea Ukaguzi miradi

    July 30, 2025
  • Menejimenti SIHA DC yaendelea Ukaguzi miradi

    July 30, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.