- Mwanzo
- Historia
-
Utawala
- Muundo wa Kiutawala
-
Idara
- Idara ya Maji
- Idara ya Afya
- Idara ya Fedha na Biashara
- Idara ya Elimu Sekondari
- Idara ya Mifugo na Uvuvi
- Idara ya Ujenzi na Zimamoto
- Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
- Idara ya Usafi na Mazingira
- Idara ya Ardhi na Maliasili
- Idara ya Utumishi na Utawala
- Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
- Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
- Idara ya Elimu Msingi
- Vitengo
- Kata
- Huduma zetu
- Fursa za Uwekezaji
- Machapisho
- Kituo cha habari
- Miradi
- Madiwani

RC Kilimanjaro alikagua ujenzi wa Madarasa manne yanayojengwa katika shule ya Sekondari Matadi na kuridhishwa na hatua iliyofikiwa
RC Kilimanjaro(kushoto) akiwa na mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Siha mhe.Wilfred Mosi wakikagua ujenzi wa Madarasa katika shule ya Sekondari Matadi tarehe 8.11.2023
Mhe.Nurdin Babu RC Kilimanjaro akishiriki kazi za ujenzi wa Madarasa matatu kwa kubeba zege katika shule ya Sekondari Kilingi Kata ya Sanya Juu tarehe 8.11.2022
RC Kilimanjaro mhe. NURDIN BABU aliyevaa kofia akiwa na diwani wa Kata ya Sanya Juu mhe.Juma Jani (kushoto) akimpokea katika shule ya Sekondari Kilingi alipofika kukagua shughuli za ujenzi wa Madarasa 3 mapya yanayoendelea kujengwa





