• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

WIZARA YA FEDHA YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WATUMISHI SIHA

Posted on: February 17th, 2025

Wizara ya fedha na mipango kupitia idara ya uendelezaji wa sekta ya fedha imetoa elimu ya fedha kwa watumishi wa umma Wilaya ya siha.

Elimu hiyo ya Fedha imetolewa leo Februari 17, 2025 katika ukumbi wa makao makuu ya Halmashauri kwa lengo la kuwajengea uelewa wa matumizi na kujiwekea akiba watumishi wa umma.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa zoezi la utoaji wa elimu Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha Bw. Salim Kimaro amewasihi watumishi wa umma kutumia elimu kuboresha matumizi yao ya kila siku na kuweka akiba ili kuepuka kuchukua mikopo maarufu kausha damu.

Elimu hii itawawezesha kufahamu ni wakati gani unatakiwa kuchukua mkopo na namna bora ya kuutumia, pia inatuwezesha kufahamu mahali salama kwa kuwekeza fedha zetu kidogo kidogo ili kuboresha hali zetu kiuchumi na kuwaondolea mawazo ya kukopa kila saa“ amesema Bw. Salim KImaro.

Kwa Upande wake, Afisa Mwandamizi Masoko na Mawasiliano kutoka Kampuni ya uwekezaji ya UTT – AMIS Rahim Mwanga amewahimiza watumishi wa umma Wilaya ya Siha kujijengea mazoea ya kuweka akiba kila wanapopata fedha ili isaidie kuongeza uwekezaji, mipango ya maendeleo na kukuza uchumi.

Amesema ili kuweka akiba ya fedha ni lazima kwanza watumishi wabainishe matumishi ya yasiyo ya lazima na kuyaondoa na akiba iwe sehemu ya matumizi ya lazima kila wanapopata fedha.

“Na ukifanikiwa kujenga utamaduni wa kuweka akiba, suala la kuwekeza fedha yako linakuja, na unaweza kuwekeza kwenye kilimo, biashara na masoko ya mitaji ikiwemo hisa, hati fungani na kununua bond ili kuiwezesha akiba yako unayoitunza kukua na kuongezeka” amesema Rahim Mwanga.

Elimu ya Fedha kwa wananchi wote ni mpango wa Serikali kupitia Wizara ya Fedha unaolenga  kuwawezesha na kuwaelimisha kuhusu masuala ya fedha, mikopo, uwekezaji ili watumie huduma sahihi za fedha.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.