• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

WAZIRI BASHUGWA AZINDUA KITUO KIPYA CHA POLISI WANANCHI SIHA

Posted on: August 6th, 2025

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa amewashukuru wananchi wa Wilaya ya Siha na wadau wa maendeleo  kwa kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa kituo kipya cha polisi Siha cha daraja B kwa kuchangia shilingi milioni 179.4.

Waziri Bashungwa ametoa shukrani hizo leo Agosti 06, 2025 wakati wa uzinduzi wa kituo cha kipya cha polisi Siha cha daraja B kilichojengwa kwa ushirikiano wa wananchi wa wilaya ya Siha na Serikali kwa jumla ya shilingi Milioni 522.5.

Amesema ushirikiano huo kati ya wananchi na jeshi la polisi ni kielelezo cha utekelezaji wa dhana ya polisi jamii na jambo ambalo serikali inajivunia.

“Uzinduzi huu wa kituo cha polisi ni jitihada za serikali ya awamu ya sita, inayoongozwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuboresha miundombinu ya majengo na vitendea kazi ili kutoa huduma bora ya usalama kwa watanzania wote” amesema Waziri Bashungwa.

Naye, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP. Camillus Wambura amesema Serikali imekamilisha na inaendelea kujenga miradi mbalimbali ya majengo  na ofisi za polisi nchi nzima ambapo jumla ya miradi ya ujenzi wa majengo ya jeshi la polisi 164 ikiwa ni majengo mapya na majengo yaliyofanyiwa ukarabati mkubwa kama ilivyo Wilaya ya Siha.

Amesema miradi ya ujenzi na ukarabati wamajengo uliokamilika ina thamani ya shilingi Bilioni 32.44 huku miradi inayoendelea kutekelezwa nchi nzima ina thamani ya shilingi Bilioni 42.65.

“Kwa hiyo ya fedha zilizopokelewa na jeshi la polisi kwa ajili ya ujenzi wa miradi mpaka sasa ni shilingi Bilioni 75.98” ameongeza IGP Wambura.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amesema kujengwa kwa vituo vipya vya polisi Mkoa wa Kilimanjaro ni kuimarisha usalama wa watu na mali zao.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA DC JUNI 2025 June 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • WAZIRI BASHUGWA AZINDUA KITUO KIPYA CHA POLISI WANANCHI SIHA

    August 06, 2025
  • ZINGATIENI SHERIA, KANUNI, MAELEKEZO YA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI – MARCO MASUE

    August 04, 2025
  • Menejimenti SIHA DC yaendelea Ukaguzi miradi

    July 30, 2025
  • Menejimenti SIHA DC yaendelea Ukaguzi miradi

    July 30, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.