• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

WAZABUNI WA CHAKULA MASHULENI WASHAURIWA KUSAMBAZA MAHARAGE LISHE YANAYOZALISHWA SIHA

Posted on: March 21st, 2024

Wenyeviti wa Kamati za Vyakula Mashuleni kwa kushirikiana na Maafisa Kilimo na Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu wameombwa kuimarisha lishe kwa kuendelea kusimamia uzalishaji wa maharage lishe kwa ajili ya afya bora ya jamii hasa kwa watoto mashuleni.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Siha wakati wa ufunguzi wa kikao cha wadau wa maharage lishe Wilaya ya Siha kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Halmashauri leo Machi 21, 2024,  Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt Barnabas Mbwambo amesema usimamizi wa uzalishaji wa maharage lishe mashuleni na katika jamii utasaidia kufikia lengo la serikali ya awamu ya sita ya kuwa na jamii yenye afya bora na lishe nzuri.

Amesema baada ya Walimu Wakuu na Wakuu wa Shule zinazolima maharage lishe na jamii kwa ujumla kugawiwa mbegu za maharage lishe na Taasisi isiyokuwa ya Serikali ya Global Alliance for Improved Nutrition (Gain) uzalishaji wake umeongezeka katika wilaya ya siha.

“Natumaini kuwa walimu wote mtaendelea kulima na kununua vyakula vya lishe mashuleni ili kusonga mbele katika kupiga vita utapiamlo kwa watoto wetu wadogo na barehe” amesema Dkt Mbwambo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji.

“Naomba mfumo huu uwe endelevu ili watoto wetu waendelee kula vyakula vyenye virutubishi na kwa kuwa maharage lishe sasa yanapatikana Wilayani Siha, niwahimize wazabuni wetu kupeleka maharage lishe mashuleni” ameongeza Dkt Mbwambo.

Kikao hicho cha wadau wa lishe kimeandaliwa na Serikali kwa kushirikiana na Taasisi isiyokuwa ya Serikali ya Global Alliance for Improved Nutrition (Gain) kwa lengo la kupata taarifa ya uzalishaji wa maharage lishe katika shule za msingi na sekondari na jamii, kuweka mkakati wa kuongeza uzalishaji wa maharage lishe na kuwaunganisha wakulima wa maharage lishe na wafanyabiashara pamoja na wazabuni.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.