• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Watumishi wa Umma watakiwa kuzingatia maadili:DC Siha

Posted on: July 26th, 2018

Watumishi wa Umma watakiwa kuzingatia maadili: DC Siha

Watumishi wa Umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha watakiwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma wakati wote wanapokuwa katika ofisi za Serikali.

Hayo yamesemwa na mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Onesmo Buswelu  katika kikao cha maandazi ya kupokea mwenge wa uhuru Wilaya ya Siha mwaka 2018 kilichofanyika 25 Julai,2018 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha.

Kabla ya kufunga kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Onesmo Buswelu aliwataka watumishi wa umma kuzingatia maadili katika utendaji wa kazi za umma hasa nidhamu kazini.

“Napenda kuwakumbusha watumishi wa umma katika Wilaya ya Siha kuhakikisha kuwa mnazingatia maadili ya kazi zenu muwapo katika ofisi za Umma hasa suala la kuvaa  mavazi  ya heshima ” ,alisema Mkuu wa Wilaya.

Alisema kuwa watumishi wa umma wanatakiwa kutambua kuwa jamii ya watanzania inawategemea wao kama wasomi na watu wenye utaalamu wa mambo mbalimbali yanayoweza kusaidia  kupatikana kwa maendeleo ya haraka kwa ustawi katika jamii.

“Mimi mkuu wa Wilaya ya Siha siwezi kufumbia macho na kuacha kukemea baadhi ya watumishi wa umma  katika  Wilaya yetu kukiuka maadili ya kazi ikiwemo kuvaa mavazi yasiyo ya heshima pamoja na kutoa lugha mbaya kwa wananchi  katika ofisi za umma”,alisema Buswelu.

“Natoa agizo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Siha kufuatilia jambo hili  kwa karibu na ikiwezekana kuwachukulia hatua za kinidhamu wale  watumishi wachache wanaokwenda kinyume na miongozo na kanuni za serikali” alisema Buswelu.

Aidha katika kikao hicho,mkuu wa Wilaya ya Siha aliwapongeza watumishi,wananchi wa Siha kwa maandalizi mazuri ya kupokea mwenge wa uhuru wilayani Siha mwaka 2018.

“Kipekee nimeridhika na maandalizi yanayoendelea ya kupokea mwenge wa uhuru,naomba ushirikiano huu uendelee katika shughuli zote za maendeleo na zile za kijamii kwa maendeleo ya Wilaya yetu”  alisema Buswelu.

Wilaya ya Siha inatarajia kupokea mwenge wa uhuru tarehe 29/09/2018 ukitokea Wilaya ya Hai na tarehe 30/09/2018 asubuhi, mwenge  wa uhuru utakabidhiwa Wilaya ya Rombo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.