• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Watumishi wa Umma Walevi wapewa Onyo kali Wilayani Siha

Posted on: December 5th, 2017

WATUMISHI WA UMMA WALEVI WAONYWA SIHA

Watumishi wa Serikali wanaotumia pombe muda wa kazi Wilaya ya Siha wamepewa karipio la kuacha tabia hiyo mara moja vingenevyo watachukuliwa hatua za kinidhamu

Hayo yamesemwa na mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Onesmo Buswelu katika ukumbi wa Kanisa katoliki Sanya Juu alipokutana na walimu wa shule za Msingi Wilaya ya Siha siku ya jumatatu tarehe 04 desemba,2017.

Katika kikao kazi hicho kilichokuwa na lengo la kufanya tathmini ya matokeo ya darasa la saba mwaka 2017 pamoja na kutafuta mbinu za kuboresha kiwango cha ufaulu katika shule za msingi.

Mkuu wa Wilaya ya Siha alieleza kuwa wapo watumishi wa umma wakiwemo walimu ambao wanafika kazini wakiwa wamekunywa pombe ,jambo ambalo haliruhusiwi kisheria kwa watumishi wa Umma.

Alitoa wito kwa watumishi wote wa Umma Wilayani Siha wenye tabia ya ulevi kazini kuacha kitendo hicho cha aibu mara moja,kwani wasipofanya ivyo Serikali haitasita kuwachukulia hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuwasimamisha kazi na hata kuwafukuza kazi kabisa.

Mhe Mkuu wa Wilaya Siha aliwataka walimu wa Wilaya ya Siha kuendelea kuwa mfano bora katika kuzingatia maadili ya kazi ya ualimu pamoja na kuchapa kazi kwa bidii na maarifa huku wakijua kuwa serikali na jamii inawategemea walimu katika kujenga jamii imara na mathubuti.

Vile vile, aliwahakikishia walimu wa Wilaya ya Siha, kuwa Serikali ya awamu ya Tano chini ya Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kuondoa kero mbalimbali za walimu ikiwa ni pamoja na kuwapa walimu huduma kwa wakati pale wanapohitaji pamoja na kuboresha maslahi ya walimu.

Kwa upande wa jamii,Mkuu wa Wilaya alitoa wito kwa jamii na wazazi kuhakikisha kuwa wanafuatilia maendeleo ya kitaaluma ya watoto wao mashuleni kwa lengo la kuongeza ufaulu.

Napenda kutoa agizo kwa watendaji wa Vijiji wakishirikiana na Serikali za Vijiji vyote Siha kuwachukulia hatua za kisheria wazazi wote wanaoacha kuwaandikisha shule watoto wenye umri wa kwenda shuleni alisema Buswelu.

Aidha mkuu wa Wilaya ya Siha  aliwataka walimu kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika uboreshaji wa elimu hasa kwa walimu kufanya kazi kwa kujituma kama ilivyo katika maadili ya kazi hiyo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.