• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Watumishi wa Umma Siha waaswa kujiimarisha katika TEHAMA

Posted on: March 12th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt Haji M. Mnasi amewahimiza watumishi wa umma kuendana na mabadiliko ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa kuongeza weredi, ufanisi na maarifa.

Dkt Mnasi amesema hayo leo Machi 12, 2024 wakati akihitisha kikao kazi cha watumishi wa umma Wilaya ya Siha na maafisa matekelezo wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wa Mkoa wa Kilimanjaro chenye lengo la kutoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa na Mfuko huo kwa wateja wake na namna ya kufuatilia na kuhakiki michango yao kupitia PSSSF Kiganjani.

Amesema serikali na taasisi za serikali zinajitahidi kuweka miongozo, taratibu na kanuni mbalimbali katika tovuti zake rasmi kwa lengo la kuwasogezea wananchi taarifa na elimu zitakazowawezesha kufanya kazi na kufahamu shughuli zinazotekelezwa na serikali.

Mkurugenzi Mtendaji  Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt Haji M. Mnasi akifunga kikao kazi cha watumishi wa umma Wilaya ya Siha na maafisa matekelezo wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wa Mkoa wa Kilimanjaro chenye lengo la kutoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa na Mfuko huo kwa wateja wake na namna ya kufuatilia na kuhakiki michango yao kupitia PSSSF Kiganjani Machi 12, 2024 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Halmashauri.

“Katika dunia ya sasa ni vyema ukafahamu masuala ya Teknolojia, uwe na uwezo wa kuingia na kupakua taarifa mbalimbali za Serikali na Taasisi nyingine zisizo za serikali, hii itasaidia kuongeza weredi, ufanisi na maarifa kwa watumishi” amesema Dkt Mnasi.

“Mfano mzuri Halmashauri yetu inatoa taarifa nyingi sana za utekelezaji wa shughuli za maendeleo lakini ukiingia kwenye tovuti na mitandao ya kijamii wanaofuatilia taarifa zetu ni wachache kweli na watumishi tupo 1212, tufuatilie taarifa zetu ili kufahamu maelekezo na taarifa zinazotolewa kila siku” ameongeza Dkt Mnasi

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)  Mkoa wa Kilimanjaro Shaban Maneno leo Machi 12, 2024 akitoa elimu kwa watumishi wa umma Wilaya ya Siha wakati wa kikao kazi chenye lengo la kutoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa na Mfuko huo kwa wateja wake na namna ya kufuatilia na kuhakiki michango yao kupitia PSSSF Kiganjani kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Halmashauri.

Picha mbalimbali za Watumishi wa Umma Wilaya ya Siha wakiwa kwenye kikao kazi na maafisa matekelezo wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) chenye lengo la kutoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa na Mfuko huo kwa wateja wake na namna ya kufuatilia na kuhakiki michango yao kupitia applikesheni ya PSSSF Kiganjani kilichofanyika leo Machi 12, 2024 kwenye ukumbi wa makao makuu ya Halmashauri.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.