• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Wanaouza pembejeo "feki" kwa wakulima kukiona-DC Siha

Posted on: February 26th, 2018

Wanaouza pembejeo “feki” sasa kukiona-DC Siha

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mh. Onesmo Buswelu ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara na mawakala wa pembejeo za kilimo Wilayani Siha kuacha mara moja tabia ya kuuza pembejeo za kilimo na mifugo ambazo hazifai katika matumizi.

Hayo ameyasema katika kikao cha Kamati ya ushauri ya Wilaya ya Siha(DCC) kilichokutana leo tarehe 26.2.2018 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha. kikao hicho kimefanyika kwa ajili ya ya kupitia na kuchambua makadirio ya bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwa mwaka wa fedha 2018/2019.

Katika kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Siha ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya ushauri Wilaya ya Siha, alieleza kuwa amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu kuwepo kwa wafanyabiashara wa pembejeo kuuza madawa feki ambayo hayafanyi kazi au yamepitwa na wakati.

“Nimemuagiza Mkuurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha kupitia wataalam wake kufanya ukaguzi wa kushtukiza katika maduka yote yanayouza pembejeo za kilimo na mifugo ili kubaini ubora wa pembejeo hizo na wale wote watakaokutwa na bidhaa feki wachukuliwe hatua za kisheria” alisema Buswelu.

Vilevile mwenyekiti huyo wa Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) alitoa wito kwa wananchi na wakazi wa Wilaya ya Siha kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wengine pale wanapokuwa na mashaka na pembejeo walizouziwa. “Tunaomba wananchi tushirikiane kwa pamoja ili kumaliza tatizo hili ambalo limeanza siku za hivi karibuni katika Wilaya yetu ya Siha” alisema Buswelu.

Kikao cha Kamati ya Ushauri Wilaya ya Siha kilihudhuriwa na Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Siha,viongozi wa Dini,viongozi wa vyama vya siasa, wadau mbalimbali wa maendeleo,wawakilishi wa mashirika ya Kiserikali nay ale yasiyo ya Kiserikali pamoja na wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.