• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

WANANCHI WAKUBALIANA KUKAMILISHA UJENZI WA MAABARA

Posted on: May 16th, 2017

Wananchi wa Kata ya Kirua Wilayani Siha pamoja na Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya Sekondari Fuka wamekubaliana kwa kauli moja kukamilisha kazi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya Sayansi katika shule hiyo.

Kauli hiyo imetolewa na Wananchi hao walipokuwa Wakiongea katika Mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Siha alioufanya katika shule ya Sekondari Fuka tarehe 16.5.2017.

Awali Mkuu wa Shule hiyo mwalimu Swalehe Kombo alisoma taarifa fupi ya maendeleo ya ujenzi wa Maabara katika shule hiyo ambapo alieleza kuwa zaidi ya shilingi milioni 5 zimetumika katika kuendeleza ujenzi wa maabara katika kipindi cha Novemba,2016 hadi Mei 15,2017.

Mkuu wa Shule hiyo alimweleza Mkuu wa Wilaya kuwa, Wananchi wa Kata ya Kirua wameweka mpango wa kupata michango ya Shilingi elfu tano kwa kila kaya ,ambapo kupatikana kwa fedha hizo kutasaidia kuendeleza ujenzi wa Maabara katika shule hiyo.

Akiongea na Wananchi na Wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule ya Sekondari Fuka iliyopo Kata ya Kirua,Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Onesmo Buswelu aliwapongeza Wananchi kwa kuwa kuonyesha hali ya kujituma na moyo ya kuchangia maendeleo hasa katika suala la elimu kwa watoto wao.

Mkuu huyo wa Wilaya alieleza kuwa Serikali itaendelea na jitihada zake za kushirikiana na Wananchi pamoja na wadau wa maendeleo katika kuleta maendeleo, na katika ujenzi wa maabara Serikali imeahidi kuleta vifaa vyote katika maabara hizo. Alifafanua kuwa vifaa vya maabara vitakavyoletwa na Serikali ni vya gharama kubwa na vitahitaji kutunzwa na kuhifadhiwa kwa uangalifu na shule husika zitakazokabidhiwa.

Wilaya ya Siha inajumla ya shule 13 za Serikali ambapo kila shule inahitaji kuwa na maabara 3 kwa masomo ya Biolojia,Chemia na Fizikia kama ilivyo agizo la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.