• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

WANANCHI SIHA WAPONGEZWA KWA KUCHANGIA UNITI ZAIDI YA 100 ZA DAMU

Posted on: September 8th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amewashukuru wananchi wa wilaya ya siha kwa kujitolea kuchangia damu salama kwa lengo la kuokoa maisha ya wagonjwa wenye uhitaji wa kuongezewa damu.

Akizungumza wakati wa kuhitimisha zoezi la uchangiaji damu lililoandaliwa na wanachama wa klabu ya yanga Tawi la Sanya Juu kwa kushirikiana na Serikali na Wadau mbalimbali wa maendeleo Wilaya ya Siha  leo Septemba 08, 2024 katika kata ya Sanya Juu, Mhe. Dkt Christopher Timbuka amesema  uniti 104 za damu zimechangiwa ikiwa ni ongezeko la asilimia zaidi ya 100 ikilinganishwa na uniti 52 zilizopatikana kwenye zoezi kama hilo mwaka jana.

Amesema upatikanaji wa uniti hizo 104 zitasaidia kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji kuongezewa damu hasa makundi maalumu ya akina mama wajawazito, watoto,  kundi la watu wenye magonjwa sugu kama kansa na kisukari na watu wanaopata ajali.

“ukisikia kwamba hospitalini kuna changamoto ya damu huwa tunapata wakati mgumu sana lakini tunashukuru sana wenzetu yanga kwa kuandaa jambo hili jema la uchangiaji damu kwa sababu dawa nyingine zinatengenezwa kiwandani lakini damu mpaka itoke kwa binadamu, na napongeza mwaka huu tumechangia zaidi ya mwaka jana” amesema Dkt Timbuka.

Naye, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Siha Dkt Nsubili Mwakapeje amesema inapofikia hatua mwanadamu anahitaji kuongezewa damu hakuna mbadala wa damu hivyo damu inapokuwepo hospitalini inasaidia kwa kiasi kikubwa kuokoa maisha yao.

“Tunawashukuru sana Tawi la Yanga Sanya Juu kwa kuratibu zoezi la uchangiaji damu kwa kushirikiana na Serikali ambayo imewezesha upatikanaji wa vifaa vya kuhifadhia damu na vinavyotumika wakati wa zoezi la uchangiaji wa damu” amesema Dkt Mwakapeje.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO UCHAGUZI MKUU 2025 JIMBO LA SIHA October 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba,2025

    October 17, 2025
  • Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba,2025

    October 16, 2025
  • DED SIHA AWAHIMIZA WEO’s, VEO’s KUWA WAWAJIBIKAJI

    October 08, 2025
  • Kura yako, Haki yako,Jitokeze kupiga kura

    October 07, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.