• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

WANANCHI MOWONJAMU WAPONGEZWA KWA USHIRIKI MZURI KWENYE MIRADI

Posted on: February 5th, 2024

Kamati ya fedha, uongozi na mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha imewapongeza wananchi wa kijiji cha Mowonjamu Kata ya Livish kwa ushiriki mzuri kwenye shughuli za ujenzi wa miradi ya maendeleo.

Pongezi hizo zimetolewa leo Februari 05, 2024 na kamati ya fedha wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa zahanati ya kijiji hicho kwa nguvu za wananchi mpaka hatua ya renta ambapo wananchi, wadau na mfuko wa jimbo wamechangia kiasi cha Shilingi Milioni 18.5 kwa lengo la kusogeza huduma za afya karibu na wananchi.

Kamati umeushauri uongozi wa kijiji kwa kushirikiana na viongozi wa kata na wananchi kusimamia kwa karibu fedha Shilingi Milioni 50 iliyoletwa na serikali kwa ajili ya kukamilisha zahanati hiyo na ianze kutoa huduma kwa wananchi kama ilivyokusudiwa.

“Mimi nikuombe Mtendaji wa Kata, Mwenyekiti, Viongozi wa Kijiji na Wananchi mshirikiane kwa karibu kwa kufanya ushindani wa wazi kwa wazabuni ili fedha iliyoletwa kwa ajili ya kukamilisha mradi huu itimize kazi iliyokusudiwa” amesema Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mhe. Noel Mollel.

“Mimi niwapongeze wananchi wa kijiji cha Mowonjamu kwa kushiriki kikamilifu mpaka mmefikisha mradi huu hatua hii hali iliyosaidia serikali kupitia kwa Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya Mhe Dkt Godwin Mollel kuleta Shilingi Milioni 50 kukamilisha kazi hii nzuri mlioianzisha kwa nguvu zenu” ameongeza Mhe Noel Mollel.

Kwa upande wao, Wananchi wa Kijiji cha Mowonjamu wamemshukuru Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha kwa kubeba ombi la kijiji hicho la kujengewa zahanati na kulifikisha serikalini hali iliyosaidia kupatikana kwa fedha za kumalizia mradi huo ili uanze kutoa huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.