• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Wanafunzi 16 Siha wapata ufadhili wa elimu kutoka shirika lisilo la Kiserikali

Posted on: January 26th, 2022

Shirika lisilo la Kiserikali Education Empowerment organization limetoa msaada wa ufadhili wa masomo na mahitaji mengine ya shule  kwa wanafunzi 16 Wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro ambapo kati ya wanafunzi hao 15 wa shule za msingi na mmoja ni wa shule ya sekondari.

Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha mapema tarehe 25/01/2022 ukipokea vifaa vya msaada kwa wanafunzi 16 wa shule za msingi na sekondari

Shirika hilo limetoa msaada huo  wenye thamani ya shilingi milioni 6 ambapo vifaa mbalimbali kwa wanafunzi vilikabidhiwa  tarehe 25/1/2022 kwa halmashauri ya Wilaya ya Siha,ambapo vifaa vilipokelewa na mhe. Duncan Urassa Mwenyekiti wa Halmashauri ya  Wilaya Siha.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha ndugu Upendo Mangali alishukuru shirika hilo kwa misaada muhimu waliyotoa kwa wanafunzi 15 wa shule za msingi na mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari na alitoa wito kwa mashirika mengine kuiga mfano wa shirika la education Empoernment organization.

Mwanafunzi Brayson Ngowo kidato cha kwanza shule ya Sekondari Dahani akifurahia msaada wa vifaa vya elimu alivyopatiwa tarehe 25/1/2022 na shirika la Education Empowerment organization

Alisema kuwa uhitaji wa wanafunzi wenye mazingira magumu bado upo katika Wilaya ya Siha na hivyo ameomba shirika hilo pia kuongeza bajeti ya kila mwaka ili kuwafikia walengwa zaidi katika Wilaya ya Siha na Watanzania kwa ujumla.


Naye mratibu wa Shirika hilo kwa upande wa Kilimanjaro ndugu Godlisten Malle amesema kuwa  Wilaya ya Siha imekuwa ikitoa ushirikiano wa kutosha katika kufanikisha zoezi hilo ndiyo maana hata idadi ya wanafunzi imekuwa kubwa ukilinganisha na Wilaya nyingine kama vile Simanjiro na Moshi

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.