• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

WAJUMBE WA DCC WAHIMIZWA KUSHAURI NAMNA YA KUCHOCHEA MAENDELEO

Posted on: October 30th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amewahimiza wajumbe wa Kikao cha Ushauri wa Maendeleo ya Wilaya ya Siha kuendelea kushauri namna bora ya kuchochea maendeleo ndani ya Wilaya ikiwemo Uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo, Miundombinu (Barabara), Maji, Huduma za Wageni na Utunzaji wa Mazingira.


Mhe. Dkt Timbuka amesema hayo leo Oktoba 30, 2023 wakati akifungua kikao cha ushauri wa Maendeleo ya Wilaya ya Siha kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha huku akiwaahidi kuheshimu ushauri wa kila mmoja kwa maslahi mapana ya Maendeleo ya Wilaya.

Amesema Msingi wa Maendeleo ya Wilaya unajengwa kwa kiasi kikubwa na ushauri unaotolewa na wajumbe hao hivyo mwelekeo wa vikao vya baraza la ushauri wa Maendeleo utajikita zaidi kwenye kujadili namna bora ya kuchochea uwekezaji wenye tija kwa wananchi wa Wilaya ya Siha na Taifa kwa ujumla.


Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Haji M. Mnasi (PhD) amesema ushauri uliotolewa kuhusu ukusanyaji wa mapato ya ndani ikiwa ni pamoja na kuanzisha miradi ya kimkakati itakayochagiza kuongeza ukusanyaji wa mapato utafanyiwa kazi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Haji M. Mnasi (PhD)

Amesema Maendeleo hayana vyama wala rangi hivyo wajibu wao kama viongozi ni kupokea ushauri unaotolewa na wajumbe bila kujali itikadi zao za vyama, dini au kabila na kuufanyia kazi.


Wajumbe wa Kikao cha ushauri wa Maendeleo ya Wilaya ya Siha wamepokea na kujadili taarifa mbalimbali ikiwemo taarifa ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha,  Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) kituo cha West Kilimanjaro, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Siha na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Siha.

Meneja wa Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Emmy George akiwasilisha taarifa ya sekta ya maji kwenye kikao cha Baraza la ushauri wa maendeleo ya Wilaya ya Siha

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.