• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Wafanyabiashara Siha Watakiwa kutumia Mizani

Posted on: September 12th, 2023

WAFANYA BIASHARA WILAYA YA SIHA WATAKIWA KUTUMIA VIPIMO VINAVYOKUBALIKA.Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt. Christopher Timbuka amewataka Wafanyabiashara katika Wilaya ya Siha kuendelea kushirikiana katika utoaji wa elimu ya matumizi sahihi vipimo na mfumo mpya wa Serikali wa TAUSI unaowawezesha kupata huduma za Serikali bila kutumia gharama za  kufika ofisini za Halmashauri.

Dkt. Timbuka amesema hayo leo Septemba 12, 2023 katika Kikao cha Baraza la Biashara la Wilaya ya Siha kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha ambapo amesema lengo la utoaji wa elimu hiyo ni kupunguza kero na kurahisisha ufanyaji wa biashara katika Wilaya ya Siha.

Amewataka wafanya biashara kutumia fursa za uwekezaji zilizopo katika Wilaya ya Siha ili kukuza kipato cha wananchi na Serikali kwa ujumla.

Aidha,ameeleza kuwa  Serikali  kwa upande wake itaendelea kushughulikia changamoto zinazoibuka kwenye sekta ya biashara ili wananchi wafanye biashara bila kikwazo.

“Naomba tushirikiane kwenye maeneo ambayo tumekubaliana kwamba tutasaidiana katika utoaji wa elimu kwa jamii katika maeneo mbalimbali  ikiwa ni yale ya kibiashara na yasiyokuwa ya kibiashara mfano elimu ya vipimo vilivyoruhusiwa na Serikali kupima mazao kwa kutumia mizani ili tusiwadhulumu wakulima wetu” amesema Dkt. Timbuka.


Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt Haji Mnasi amesema Wilaya ya Siha inazo fursa nyingi za uwekezaji kwenye Sekta ya Utalii, Kilimo na Biashara hivyo wananchi na wafanyabiashara wanatakiwa kuzichangamkia.


Akizungumzia Uboreshaji wa Shughuli za kilimo cha Umwagiliaji, Afisa Kilimo wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Habibu Ally amesema kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Serikali imepanga kuchimba visima 150 vitakavyowawezesha wananchi kufanya kilimo cha umwagiliaji hali itakayochochea biashara ya mazao ya kilimo katika Wilaya ya Siha.

Nao, Baadhi ya Wafanya Biashara wameishauri Serikali Wilaya ya Siha kupitia Kitengo cha Biashara na Divisheni ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kutumia mizani kupima mazao yao wakati wa kuuza na kuimarisha mahusiano mema baina ya Wafanya Biashara ya Serikali.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.