• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

chanjo ya Polio kutolewa kwa watoto chini ya miaka 5 Wilayani Siha

Posted on: August 30th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson amewaagiza  Wenyeviti wa Vijiji  wote katika Wilaya ya Siha kushirikiana na Wataalam wa Afya katika kufaniksiha zoezi la utoaji wa chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano inayotarajiwa kufanyika Wilaya ya Siha kuanzia tarehe 1/9/2022 hadi tarehe 4/9/2022

mhe. Thomas Apson (katikati)Mkuu wa Wilaya ya Siha akiongoza kikao cha wajumbe wa kamati ya afya ya  msingi Wilaya ya Siha 30 Agosti,2022

Kauli hiyo ameitoa leo siku ya Jumanne 30 Agosti,2022 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha katika kikao na Wajumbe wa kamati ya Afya ya msingi Wilaya ya Siha(Primary Health Care Commitee) ambapo kikao kilihudhuriwa na wajumbe mbalimbali.

awali akiwasilisha taarifa katika kikao hicho mratibu wa chanjo Wilaya ya Siha Paul Isack alisema kuwa, Wilaya ya Siha imepanga kampeni kabambe ya kutoa chanjo ya polio kwa watoto wenye  umri wa  chini ya miaka mitano katika Vijiji vyote 60 Wilayani Siha.

Baadhi ya wajumbe wa kikao cha afya ya msingi Wilaya ya siha wakisikiliza mada mbalimbali

Alisema kuwa katika kampeni hiyo jumla ya watoto zaidi ya elfu 27 wanatarajiwa kupata chanjo hiyo ambayo sasa ni awamu ya tatu kutolewa,alieleza kuwa zoezi litafanyika kuanzia tarehe siku ya Alhamis tarehe 1/09/2022 hadi jumapili tarehe 4/9/2022.

Paul Isack mratibu wa chanjo Wilaya ya Siha akiwasilisha taarifa fupi ya zoezi la chanjo ya polio kwa wajumbe wa kikao

Katika kikao hicho  mkuu wa Wilaya ya Siha ametoa wito kwa wananchi na wakazi wa Wilaya ya Siha kuhakikisha kuwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano wanapatiwa chanjo ili kujikinga na madhara mbambali yanayoweza kutokea kutokana na ugonjwa wa Polio.

Napenda kuwaomba na kuwahimiza Viongozi wote wa Vijiji kuhakikisha kuwa wanasimamia na kuwaongoza wataalam wa afya watakaopita katika kaya zilizopo katika Vijiji vyote 60 katika Wilaya ya Siha na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata taarifa kwa kupatiwa matangazo kutoka Uongozi wa Vijiji husika

mhe.Duncan Urassa Mwenyekiti Halmashauri ya Siha akichangia mada katika kikao 30 Agosti,2022

Katika Kikao hicho mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha mhe.Duncan Urassa amesema kuwa ili kampeni mbalimbali ziweze kufanikiwa ni budi kushirikisha viongozi wa jamii hususani Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji kwani wao ndio wenye watu na wapo karibu zaidi na wananchi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.