• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Viongozi wa Dini,Mila Wilayani Siha wasema wananchi wapo tayari kuhesabiwa tarehe 23 Agosti,2022

Posted on: August 20th, 2022

Viongozi wa Madhehebu ya Dini Wazee Maarufu pamoja na Viongozi wa Kimila katika Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro wamewataka na kuwaomba wananchi na wakazi wa Wilaya ya Siha kushiriki kuhesabiwa katika zoezi la sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika siku ya Jumanne tarehe 23 Agosti,2022.

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson akiongea na Viongozi wa dini na Mila katika ukumbi wa Halmashauri ya Siha

Kauli hiyo imetolewa na Viongozi hao  katika kikao cha pamoja kilichoitishwa na mhe. Mkuu wa Wilaya ya Siha leo tarehe 20.8.2022 na kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Siha kwa lengo la kufanikisha zoezi la sensa  ya watu na makazi pamoja na zoezi la utoaji wa chanjo ya uviko 19 . 

Awali akifungua kikao hicho muhimu,Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson aliwashukuru Viongozi wa Madhehebu ya Dini Wilayani Siha pamoja na Viongozi wa Kimila (Malaigwanan na Mangi) kwa jinsi wanavyosaidiana na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuboresha utoaji wa huduma bora kwa jamii.

 Viongozi wa Dini wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Siha leo tarehe 20.8.2022

Napenda kuwapongeza na kuwashukuru sana viongozi wangu kwa jinsi mnavyoendelea kuwaelimisha wananchi kuhusu umuhimu  kupata chanjo ya kujilinda na ugonjwa hatari wa corona kwani ugonjwa huu bado unaendelea kuwa tishio kwa maisha ya Wanadamu hapa duniani alisema mhe. Thomas Apson Mkuu wa Wilaya ya Siha.

Aliwashukuru pia Viongozi madhehebu ya Dini,Wazee Maarufu pamoja na Viongozi wa Kimila katika Wilaya ya Siha kwa jinsi wanavyoendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa sensa kwa maendeleo yao,Wilaya na Taifa kwa ujumla.

Akizungumza katika kikao hicho Kiongozi wa Kabila la Kimaasai  Tanzania na Kenya Laigwanan Joseph Laizer ambaye pia ni mkazi wa Wilaya ya Siha alimwakikishia mkuu wa Wilaya ya Siha kuwa kwa upande wa kabila la kimaasai wapo tayari kuhesabiwa na wanasubiri tu tarehe 23 agosti,2022 ili wahesabiwe.

Napenda kukuhakikishia kuwa sisi wafugaji kabila la Kimaasai tumepata elimu ya kutosha kutoka Serikalini kupitia Viongozi wake pamoja na vyombo vya habari tumeelewa na tupo tayari kuhesabiwa kwani sensa ndiyo maendeleo yetu alisema Laigwanan Joseph Laizer.

Naye Mangi Mkuu wa Wilaya ya Siha ndugu Johnson Kileo alisema kuwa kwa upande wake ameshakutana na koo zote za Wilaya ya Siha na kuweka utaratibu wa kuendelea kutoa elimu kwa kila kaya kuhakikisha kuwa wanashiriki vema kuhesabiwa ili serikali ipate takwimu sahihi zitakazosaidia kupanga mipango ya maendeleo kwa wananchi wake.

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson (wa sita kutoka kushoto mbele) akiwa na viongozi wa dini na viongozi wa Kimila leo tarehe 20.8.2022 makao makuu ya Halmashauri ya Siha

Katika Kikao hicho cha Mkuu wa Wilaya ya Siha Viongozi mbalimbali walihudhuria wakiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha,Wajumbe wa Kamati ya ulinzi ya Wilaya ya Siha, Kaimu Afisa Tawala wa Wilaya ya Siha,Wazee maarufu Siha,Viongozi wa Madhehebu ya Dini na Viongozi wa Kimila Wilaya ya Siha


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.