• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Viongozi wa Dini Wilayani Siha wahimiza Maadili katika Jamii

Posted on: July 27th, 2023

Kilio cha Viongozi wa Dini dhidi ya mmomonyoko wa Maadili

Viongozi wa Madhehebu ya Dini Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro wametoa wito kwa viongozi wa Serikali kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini katika mapambano dhidi ya janga kubwa la mmomonyoko wa maadili katika jamii.

Kauli hiyo imetolewa na Viongozi hao katika maadhimisho ya kumbukizi ya siku ya mashujaa waliopigania nchi yetu, ambayo katika Wilaya ya Siha yamefanyika tarehe 25/7/2023 katika Kata ya Sanya Juu.

Akiongea katika maadhimisho hayo Mchungaji Mwenza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Sanya Juu Mchungaji Regium Kimaro alisema kuwa jamii ya Watanzania hususani vijana wamepoteza mwelekeo kwa kufanya mambo ya kuiga kutoka Nchi za Ulaya na Marekani.

“Naomba Watanzania tuige mambo mazuri na tuache kuiga mambo mabaya ambayo hayaendani na mila na tamaduni za Mwafrika mfano mambo ya mapenzi ya jinsia moja pamoja na matumizi ya madawa ya kuleya” alisema na kuongeza mchungaji Kimaro.

Mchungaji Kimaro alisema ipo haja ya kujitathmini kwa kuangalia tulipotoka, tulipo na tunapoenda na ni jukumu la watanzania wote wakiwemo viongozi wa Serikali,viongozi  wa dini, wafanyakazi, wazazi /Walezi na jamii yote ya Tanzania kutokomeza vitendo vinavyochangia mmomonyoko wa maadili.

Naye Kiongozi wa Dini ya Kiislam Wilaya ya Siha Imamu Mohamed Hassan alisema kuwa wazazi na walezi wanalo jukumu kubwa la kuhakikisha kuwa watoto wanalelewa vizuri ili wasijiingize katika matendo maovu ikiwemo zinaa,ulevi na wizi.

Alieleza kuwa kwa hivi sasa vijana wengi wameiga tamaduni kutoka nje ya nchi na wengine wanatembea wakiwa wamevaa mavazi yanayoonyesha sehemu kubwa ya maungo ya miili yao.

Imamu Mohamed alisema Viongozi wa Serikali kwa kushirikiana na Viongozi wa Dini na jamii kwa ujumla wanaweza kushirikiana kutengeneza mbinu za kukabiliana na mmomonyoko wa maadili kwani bila kufanya hivyo kutachangia kutengeneza kizazi kisichokuwa na maadili bora ya Kitanzania.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.