• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Vikundi 22 Wanawake vyapatiwa mikopo 2016/2017 Siha

Posted on: October 25th, 2017


Vikundi 22 Wanawake vyapatiwa mikopo nafuu 2016/2017

Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro imefanikiwa kutoa mikopo yenye masharti nafuu kwa vikundi 22 vya wanawake Wilayani Siha katika mwaka wa fedha 2016/2017.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha Valerian Juwal alieleza hayo katika mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani uliofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Siha.

Taarifa ya Mkurugenzi mtendaji ilieleza kuwa,katika mwaka wa fedha 2016/2017 halmashauri ya Wilaya ya Siha imetoa mikopo kwa vikundi 22 vya wanawake Wilayani Siha yenye thamani ya shilingi 56 ,000,000/= zikiwa ni fedha kutoka mchango wa Halmashauri wa asilimia tano (5%) ya mapato yake ya ndani.

Aidha, Mkurugenzi katika taarifa yake alieleza Baraza kuwa pamoja na changamoto ya halmashauri kukabiliwa na vyanzo vichache vya ukusanyaji wa mapato lakini Halmashauri imejitahidi kutoa kiasi hicho cha fedha kwa vikundi vilivyoomba mikopo na vilivyotimiza vigezo vya kupata mikopo hiyo kwa kuzingatia sheria na taratibu mbalimbali.

Ametoa wito kwa vikundi vya wanawake katika wilaya ya Siha kutumia fursa hiyo ya Serikali ya kuomba mikopo yenye masharti nafuu katika kujikwamua kiuchumi katika ngazi ya Familia na jamii kwa ujumla wake.

Hata hivyo,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha ametoa wito kwa vikundi mbalimbali vilivyopatiwa mikopo kutumia mikopo hiyo kwa shughuli waliojipangia badala ya kutumia mikopo waliyopewa katika mambo yasiyoleta tija.

Alieleza kuwa pamoja na jitihada za halmashauri kutoa mikopo hiyo kwa wanawake lakini wahusika bado wanayo wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa mikopo hiyo inarejeshwa kwa wakati ili iweze kuwasaidia wanufaika wengine katika halmashauri ya Wilaya ya Siha.

Halmashauri ya Wilaya ya Siha katika upangaji wa mipango na bajeti kila mwaka inatenga asilimia 5 ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo ya kuwawezesha wanawake na asilimia 5 ya mapato ya ndani ya Halmashauri mikopo kwa vikundi vya vijana.

Katika mwaka wa fedha 2016/2017 Halmashauri ilitenga bajeti ya Tsh 87,051,850 kwa ajili ya kuwezesha vikundi vya wanawake. Ambapo hadi kufikia Juni 2017 jumla ya vikundi ishirini na mbili (22) vya wanawake vilipatiwa mkopo wenye thamani ya Tshs 56,000,000/= zikiwa ni fedha kutoka mchango wa Halmashauri wa asilimia tano (5%) ya mapato ya ndani.

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA DC JUNI 2025 June 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU MWENGE WA UHURU WILAYA YA SIHA

    June 25, 2025
  • Miradi ya Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha 2015

    June 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha tarehe 3 Juni,2025

    June 24, 2025
  • Mazoezi ya Maandalizi ya Mwenge wa Uhuru SIHA

    June 20, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.